Chigwiyemisi
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 531
- 230
Kwan mnaakili nyie? Hamjui hata faida ya mwenge hata faida ya bendera ya taifa haujui= acha kuwa mtumwa wa fikra
Kama wewe una akili taja faida moja ya mwenge...
Kwan mnaakili nyie? Hamjui hata faida ya mwenge hata faida ya bendera ya taifa haujui= acha kuwa mtumwa wa fikra
Kijana mmoja ameleta mtafaruku uwanja wa Samora Iringa alipojaribu kuuvamia Mwenge wa Uhuru uliokuwa unaingizwa uwanjani tayari kukabidhiwa Rais Kikwete.
Inaelekea walinzi walikuwa tayari kwa tukio hilo maana amenyakuliwa kama Mwewe anyakuapo vifaranga.
Kwan mnaakili nyie? Hamjui hata faida ya mwenge hata faida ya bendera ya taifa haujui= acha kuwa mtumwa wa fikra
Kwan mnaakili nyie? Hamjui hata faida ya mwenge hata faida ya bendera ya taifa haujui= acha kuwa mtumwa wa fikra
Hiyo ni tochi au ni kurunzi .
utakumbuka wkt wakimbiza mwenge wakitaka kumkabizi mwenge rais,kuna kijana alitaka kuwapokonya mwenge huo sasa kikwete ktk hotuba yake amehoji kuwa kijana huyo amechukizwa na nn hadi afikie hatua hiyo!
Bilashaka itakua ni kibatali.Hiyo ni tochi au ni kurunzi .
Tu wape kazi alshabab waupasulie Mbali huko
Menge ndonini sasa hata kama ingelikua mwenge hatulitaki nawewe ni wabuku saba ndomaana ushindwe ktk jina la YESU Amee
kikwete ktk hotuba yake amehoji kuwa kijana huyo amechukizwa na nn!
Ningependa kujua faida (japo mbili tu) zitokanazo na mwenge.