Kijana ajaribu kuvamia Mwenge wa Uhuru

Kijana ajaribu kuvamia Mwenge wa Uhuru

Kijana mmoja ameleta mtafaruku uwanja wa Samora Iringa alipojaribu kuuvamia Mwenge wa Uhuru uliokuwa unaingizwa uwanjani tayari kukabidhiwa Rais Kikwete.

Inaelekea walinzi walikuwa tayari kwa tukio hilo maana amenyakuliwa kama Mwewe anyakuapo vifaranga.

Kwa akili ya magamba mtasema katumwa na msigwa....
 
Kijana mmoja ameleta mtafaruku uwanja wa Samora Iringa alipojaribu kuuvamia Mwenge wa Uhuru uliokuwa unaingizwa uwanjani tayari kukabidhiwa Rais Kikwete.

Inaelekea walinzi walikuwa tayari kwa tukio hilo maana amenyakuliwa kama Mwewe anyakuapo vifaranga.

Huyo dogo wamfanye kama walivyomfanya LEMA adabu itapatikana.tena wanausalama wasimshirikishe JK,kwasababu anahuruma sana.
 
Huo mwenge wauzime kwenye makalio ya Msigwa na ndio huo ujinga wa hao watoto kutaka kuuvamia ndio utaisha
 
Mbio za Mwenge ni upuuzi mtupu. Hivi kuna kijana bado ana muda wa kwenda kukimbiza huo upuuzi kweli?!
 
Auvamie tu ...mi nasema auvamie tu.kama wanaambiwa mwenge hauna maana zaidi ya matumizi mabaya ya fedha za wananchi,kusambaza ukimwi na propaganda za CCM wanajifanya wao jeuri ..wauvamie tu..

Manake na sisi tumechoka!!
 
ufisadi ni kula ruzuku ya chadema inayotokana na kodi za wananchi

nyie si ndio mpo wengi bungeni mnaonaje mkipitisha sheria kufuta ruzuku! maana mna uchungu sana na kodi za wananchi!
 
Inawezekana siku mwenge utakapozimwa mojakwa moja akili za watanzania zinaweza kuzinduka na kufikiri kama binadamu tena!
 
utakumbuka wkt wakimbiza mwenge wakitaka kumkabizi mwenge rais,kuna kijana alitaka kuwapokonya mwenge huo sasa kikwete ktk hotuba yake amehoji kuwa kijana huyo amechukizwa na nn hadi afikie hatua hiyo!


labda atakuwa amechukizwa kuona gharama zilizotumika katika Sherehe,akilinganisha na Umasikini alionao asira zikampanda
 
hivi tujiulize wadau huo mwenge utaendelea kukimbizwa mpaka lini? Vitu vingine vimepitwa na wakati
 
Menge ndonini sasa hata kama ingelikua mwenge hatulitaki nawewe ni wabuku saba ndomaana ushindwe ktk jina la YESU Amee
Nyie maajenti wa shetani mnalitaja bure Jina lipitalo majina yote kwa ajili ya siasa zenu za kuzimu!
 
Amekosea kuukimbilia,angesubiri jk anapoupokea ndio aje ikiwezekana ambonde nao,,

Sasa wengine humu jukwani tukiitwa wagonjwa wa akili. Hivyo kweli tunatukanwa au ni ukweli. Mfano ni wewe apolinary , amakweli unahitaji kupelekwa mirembe
 
Kamanda amehojiwa na clouds fm kasema huyo kijana hana akili
 
huo mwenge ni haramu tuu kama nguruwe big up kijana kwa kujitokeza hadharani kuupinga.
 
Back
Top Bottom