Kijambo kilipoishia!!!!!!!!!1

Kijambo kilipoishia!!!!!!!!!1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,223
Mwalimu kati ya hawa wapya bado alikuwa haizoea skuli na mazingira ya darsa! Basi katika kufundisha tumbo likamjaa gesi ndo akajikuta kijambo kimemponyoak kwa sauti. Basi wanafunzi walichekaje sasa?

Mwalimu kwa soni akajizoa zoa akatoka nje kwenda ku clear kichwa kidogo maana kazi yataka wito ile! Akajikusanya na kujizo zoa na kurudi class kuwamegea pindi vijana.

Mwalimu " Wanafunzi tuliishia wapi?"

Wanafunzi "Tuliishia KIJAMBO KILIPOISHIA MWAAALIMU"

Ticha akatoka kichwa chini na hajarudi tena skuli hiyo kuwafundisha 0 brain wale.
 
aaahg! mimi nilivyomaliza form 6 nilipiga pindi kwa mda shule flani hivi mkanda wa sarawili ukaachia bakozi halafu kiuno cha sarawili yangu ni oversize, ilivyodondoka nikaidaka fasta nikazuga kwa kuwaambia wanafunzi ''na hivi ndivyo spidi ya magma inavyolipuka'' teh teh teh!
 
i see unakipaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom