Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

Dogo January kaja fasta fasta sana na kuidandia hoja ya Dowans kwa nyuma, its like father like son, babake kaiua CCM na dogo naye anakuja kukurupukia kwenye Dowans anafikiri watanzania wawajui kuchambua hoja.

Ni mijitu mijinga tu hapa nchini ambayo inafikiri suruhisho la mgawo wa umeme nchini ni lazima kuifikiria au kuihusisha DOWANS.

Nchi tajiri - mijitu mijinga mijinga ndiyo inayotuamulia mambo - hasara kubwa kwa taifa, hasara kubwa kwa vizazi vijavyo. i'm very sorry to say that anyway, but that is reality hatuwezi kuukwepa ukweli. - Weekend yangu ishaharibika tayari.
 
Nimechooooka!!!!!!!!!!!! yaani kumbe ilikua trailer, movie yenyewe hiyooooo inakuja.
 
Mkuu Pdidy, hivi unaweza kuuliza majini kwa sheikh Yahya? Like father like son

Kwa kweli kuna sehemu unamhusisha Mungu lakini kwa huyu kijana nahsi sheikhyahaya atatpa mwelekeo wake..nahisi mmeelewa...sidhan kama ameenda bungen kwa lengo la kusaidia..uwezi toa ushauri wa dowans alafu unapelekewa msmaha wa DOWANS unadai hilo la Tanesco..lazima tumpeleke sakatriki watusaidie kwa hili..kama ametumwa hilo liwekwe wazi...upuuzi na upumbavu wa wazee wa zamani tumechoka tutaandamana kwa ajili yake ....asilete siasa
 
Punguza jazba Pdidy. Sina sababu ya kutokuamini kuwa Mh. Makamba ana akili nzuri tu. Ungeweza kuuliza maswali yako ya msingi kwa kuangalia issues kwenye suala husika bila kumshambulia mtu. Kwani kwa kufanya hivyo unaifanya hoja yako ionekane kuwa na character assassination plot.

Mfano hapo nilipo bold nimeshindwa kuelewa huyo mtu unaye mvurumishia matusi ya rejareja ni Mh. Makamba au Ni mwakilishi wa Dowans Tanzania?

jana nilisikia mh mmoja wa DOWANS akisema wamesamehe serikali na tanesco deni lao walilokuwa wakidai, kuwa na adabu wala heshima mshenzi huyualidiriki kusema wameona hivyo kusikia VILIO vya watanzania..,,, hana adabu kabisa mshenzi mkubwa


nAFIKIRI UMEELEWA ZAIDI MZEE
 
dogo january kaja fasta fasta sana na kuidandia hoja ya dowans kwa nyuma, its like father like son, babake kaiua ccm na dogo naye anakuja kukurupukia kwenye dowans anafikiri watanzania wawajui kuchambua hoja.

ni mijitu mijinga tu hapa nchini ambayo inafikiri suruhisho la mgawo wa umeme nchini ni lazima kuifikiria au kuihusisha dowans.

Nchi tajiri - mijitu mijinga mijinga ndiyo inayotuamulia mambo - hasara kubwa kwa taifa, hasara kubwa kwa vizazi vijavyo. I'm very sorry to say that anyway, but that is reality hatuwezi kuukwepa ukweli. - weekend yangu ishaharibika tayari.


pole mkuu elnino

bado tunanafasi ya kumkimbiza kama walivyokimbizwa wengine..ujinga bungen atutaki ...kibaya ajui la wala le la dowans..kama mwenzake spika wa jamhuri ya tanzania mama makinda akili zao azipishani sana....huyu at least kwa uzee wake naweza masamehe wewe unasema ulete ushahdi hapa bungen unaplekewa utaki haata kusema jaman niletee chumban kwangu ama ofisini....hii ni aibu kwa bunge zima..wabunge wana haki ya kumlazimisha huyu mama kusema ukweli/..alikataa dowans yasiongelewe yako mahakamani leo arusha wako mahakamani ameruhusu bosi wake kuropoka bila akuulizia ukweli...kweli wabunge tumepata...

Ushauri
j.mathread ukweli utabaki pale pale atuitaji mitambo ya kihuni na kitapeli na kuwahenemesha wachache upuuzi huo ondoa..mmeambiwa mipya usd million 200
hizo takataka mnaambia usd million 540 na wewe unahimiza mkataba mkataba wa "bumbuli"" ama??
 
In fact, they (Dowans) are ready to forgive the debt, and they have already written to Tanesco,” January Makamba, chairman of the parliamentary watchdog overseeing energy and mineral sector, told reporters in Dar es Salaam yesterday."

Hivi wabongo kweli sisi ni wadanganyika au tumelogwa! Hawa jamaa, washajua serikali imetenga bilioni 400, za kutafuta mitambo ya kuzalisha umeme wa dharura kwa miezi 4. Kwa mtaji huo, hawa mafisadi wanaoipalilia down sijui dowans , wanajua wakisamehe hilo "deni", watapata huo mkataba mnono wa billioni 400 au nusu ya hiyo! Akili ni nywele, kila mtu ana zake!

Dowans, wanajua, mitambo yao, hamna sehemu yoyote duniani, zaidi ya Tanzania, wanaweza waipeleka wakafanya biashara ya kulangua umeme! Wadanganyika amkeni, msidanganywe na maneno uchwara ya uzalendo kwanza siasa baadae!
 
Yaani chanzo cha haya yote ni mu'iran mmoja tu!!
Ameiweka serikali mifukoni mwake na hakuna wa kumfanya lolote.
 
Mkuu Pasco, tusaidie kutuwekea bandiko jamvini tuweze kulifuatilia kwa makini na kwa detail zote. Nchi yetu bwana ina mambo!!

Huyu dogo sasa mambo yamemchenjia kwa sababu ya kutaka kuwasafisha wakubwa zake. Nashauri RexAttorneys wamburute mahakamani kwa kuwaua njaa mjini hapa.
 
MsandoAlberto, Balozi ni Mwanaidi Sinare Majaar, hawa sisters wote ni lawyers na ni vichwa vya ukweli.
Huko nyuma walikuwa na Law firm yao ikiitwa Epitome. Wakati Mwanaidi ni Balozi, dada mtu, yaani Dr. Hawa Senare ni part time mhadhiri wa UDSM, akifundisha Investment Law, na kwenye somo lake hilo, anafundisha vizuri sana huku akigharimia zile hand outs kwa fedha zake za mfukoni na kuzigawa bure darasa zima!. Somo lake ukipata C wewe ni kilaza kweli kweli, <font size="3"><font color="red">ni A, B+ na B tuu ndio zilitawala.[/</font></font>QUOTE]
Hapo penye red inaelekea ana huruma sana huyu!
sio huruma, anafundisha vizuri na kugawa nondo zote hivyo darasa zima wanafanya vizuri.
 
Mheshimiwa January Makamba..ametufumbua macho kujua nini kinaendelea chini kwa chini na huu ni mwanzo mzuri wa kujua ukweli mzima wa mambo na role played kwa kila mhusika..uvumilivu tu unahitajika..
 
rex-january3.jpg

Naona wameamua kulipuana. Kumbe walihusika katika kukwepa kodi pia! TRA wachangamkie dili hili chap chap angalau tuambulie kodi.
 
Wekeni kwa kiswahili mnaojua king'eng'e sisi wengine tunaona blue blue tu - kiingeleza wito wakuu...
 
REX nao wasanii tu, they benefited from these fake deals.... wasitake kutuzingua
 
AnaAkili za Kufundishwa sio za ubongo = Masalakuangwa
ila sijajua kati yake na babake yupi kamzidi mwenzie
 
Hawa mafisadi wameshaona wakiendelea na njia ya mahakama hawatapata cha kwao, kwa hiyo wanakuja na gia ya kupunguza deni, halafu wanasema kiasi hicho kilichobaki ni halali yao kutokana na kuwauzia Tanesco umeme, Inamaana hata ICC haijui kutofautisha fine na deni? mahakama ingesema kuwa Tanesco walipe deni kiasi fulani na fine kiasi fulani, siyo kujumuisha yote na kuita ni fine.
Hili bado changa la macho, hakuna cha deni hapo hela yote ni fine.

Wameona nguvu ya umma na pressure imekuwa kubwa sasa wanataka kufanya janja ya nyani.

Hao akina Makamba na Ngeleja wamekuwepo ndani ya geem kwa muda mrefu,wanajua A-z.
 
Back
Top Bottom