Kiinglishi kinapokohoa.

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Wadau.
Nimekutana na hii pic mtandanoni, nikaona ni vyema kuitundika hapa. Je, kuna umuhimu wowote wa kutumia dikshenari kama unahitaji kuweka tangazo kwa kiingereza au bora ujumbe umefika hata kama spelling zimekosewa?
Maoni.....

IMG_0403.jpg


Pic kwa hisani: Michuzi.
 
Utaamu wa lugha ni muhimu ili ujumbe kusudiwa uwafikie walengwa. Neno likikosewa laweza kuleta maana nyingine tofauti na iliyokusudiwa.
 
Kwa viwango vya uswazi,hiki kiko juu san na wadau wanaelewa bila wasiwasi wowote.
 
Mengine yote hata Mwingereza ataelewa haina shida kabisa kwa standard za kibongo, ila hiyo ya Paiteng ndo balaa!
 
wadau.
nimekutana na hii pic mtandanoni, nikaona ni vyema kuitundika hapa. Je, kuna umuhimu wowote wa kutumia dikshenari kama unahitaji kuweka tangazo kwa kiingereza au bora ujumbe umefika hata kama spelling zimekosewa?
maoni.....

img_0403.jpg


pic kwa hisani: Michuzi.


lugha bhana..khaaa..
 
Ukiandika kiingereza cha ukweli, waswahili hawaelewi! Ukichnganya na rubish mnakwenda sawa. That's it budy!!
 
hii inanikumbusha stationary badala ya stationery!!!! sehemu nyingi sana tunazotolea photocopy zimekosewa hivyo.. Fanyeni uchunguzi mtabaini
 
waswahili tunavyopambana kukijua kingereza. sidhani kama tangazo hili lina chochote cha kufanya kwa asiyejua kiswahili, ambaye labda ni nadra sana kuonekana huko mitaa ya uswahilini na kuhitaji hizo huduma zilizotajwa hapo. matangazo mangapi kwenye redio zetu yako kwa kingereza wakati walengwa ni watanzania waswahili? sikiliza tangazo la stanbic bank kingereza kitupu waqt mlengwa ni mtz. hivi tuna watz wasiojua kiswahili kabisa mpaka watangaziwe matangazo ya biashara kwa kingereza ndo waelewe? hii kasumba sijui itatutoka lini
 
Wadau.
Nimekutana na hii pic mtandanoni, nikaona ni vyema kuitundika hapa. Je, kuna umuhimu wowote wa kutumia dikshenari kama unahitaji kuweka tangazo kwa kiingereza au bora ujumbe umefika hata kama spelling zimekosewa?
Maoni.....

IMG_0403.jpg


Pic kwa hisani: Michuzi.
huyu anajipotezea muda angeongeza 'S' mwisho zote zingekuwa kithungu,fundis,bombas,selemalas, umemes na rangis.
 
Hii ni aibu kwani huaenda mwandishi wa bango amesoma std I hadi Std VII hajakalia dawati amefaulu ameenda sekondari za kata ambayo ina walimu watatu tu,tunategemea kupata nini hapo?
 
Back
Top Bottom