King'asti , leo umentisha ! Mbona umekuja fasta sana?
Ni kama hicho laptop/mob/comptr , utumiayo jina lako likiwa mentioned inakupa alarm/ alert !
Nway umesomeka vema!
Tatizo ni kwamaba unaweza kuandaa sherehe yako na wanamama wasije na nadio maana hata Robert Nesta Marley aliimba akisema No woman no cry..............................