Kiingereza cha wanasiasa wa Tanzania

Kiingereza cha wanasiasa wa Tanzania

Hivyo nyie wote mliochangia mada hii mnaakili kweli au ndiyo hazimo?
Mnapoteza mda wenu mwingi kutoa hoja za kipuuzi namna hii, mna akili kweli?

Badala ya kuwaza mambo ambayo yatawaletea maendeleo nyie mnakuja humu ku-discuss pumba.
Huko ni kupoteza energy na Resources.
Sasa na wewe umekuja kwenye Uzi huu si umepoteza energy mkuu ?
 
Bila kumsahau nguvu wa lugha ya malkia Dr JPM.
 
Back
Top Bottom