Kiingereza cha wanasiasa wa Tanzania

Kiingereza cha wanasiasa wa Tanzania

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,561
Reaction score
42,953
Naomba kujua wanasiasa wanaoongea kingereza kizuri sana Tanzania waliopo na waliopita Mimi naanza na hawa niliowahi kuwasikia live

Nyerere
Mkapa
Mwandosya
Salim Ahmed Salim
Dr Abdala Kigoda


Endeleza list pls...
 
Samwel Sitta
Nicas Mahinda
Abel Mwanga
Prof Sarungi
Bashe
Gertrude Mongella
Sinde Warioba
Nimrod mkono
James ndobho
Mabere marando
Tundu lissu
John cheyo
IDD azan zungu
Kighoma malima
 
Mimi pia, Rais wenu wa sasa naunga mkono hoja kutokea siti ya nyuma huku.
 
Tuanze na wewe kwanza ndiyo uje hapa kukosoa viongozi
 
Naomba kujua wanasiasa wanaoongea kingereza kizuri sana Tanzania waliopo na waliopita Mimi naanza na hawa niliowahi kuwasikia live

Nyerere
Mkapa
Mwandosya
Salim Ahmed salim
Dr Abdala kigoda


Endeleza list plz tuache mapovu au kudhihaki wengine ktk uzi huu

  1. Salum Jecha
  2. Maulid Mtulia
  3. Haji Duni
 
Samwel Sitta
Nicas Mahinda
Abel Mwanga
Prof Sarungi
Bashe
Gertrude Mongella
Sinde Warioba
Nimrod mkono
James ndobho
Mabere marando
Tundu lissu
John cheyo
IDD azan zungu
Kighoma malima
Dufu hii kiboko kuna majina sikuwahi kuyafikiria MKUU au umeandika kwa interest Fulani fulani

Nikasema mahindi alikufa kitambo sana na kaburi lake nalijua pale kilakala morogoro
 
Huwa ninacheka sana kipindi cha ''SIMBEYE" maaan amagwiji na maproffesa kizungu ni hatari bwana wewe!!!! acha mchezo??? kinakwama balaa!!! ukimtaiti proffesa wa bongo kuongea chenyewe nusu saa utacheka.. mbwembwe zinaanza mwanzoni ama akiwa anaonea kiswahili na kuchanganya na chenyewe. Sasa niliowahi kuwashuhudia wanaongea chenyewe bila kukwama ni

1. LAWRANCE MASHA

2.MTOTO WA PROFESA MAGHEMBE ambaye ni mbunge wa bunge la EAST AFRICA
 
Back
Top Bottom