Kiingereza cha wanasiasa wa Tanzania

Kiingereza cha wanasiasa wa Tanzania

Huwa ninacheka sana kipindi cha ''SIMBEYE" maaan amagwiji na maproffesa kizungu ni hatari bwana wewe!!!! acha mchezo??? kinakwama balaa!!! ukimtaiti proffesa wa bongo kuongea chenyewe nusu saa utacheka.. mbwembwe zinaanza mwanzoni ama akiwa anaonea kiswahili na kuchanganya na chenyewe. Sasa niliowahi kuwashuhudia wanaongea chenyewe bila kukwama ni

1. LAWRANCE MASHA

2.MTOTO WA PROFESA MAGHEMBE ambaye ni mbunge wa bunge la EAST AFRICA
Mtoto wa maghembe pic MKUU kama unayo
 
Dufu hii kiboko kuna majina sikuwahi kuyafikiria MKUU au umeandika kwa interest Fulani fulani

Nikasema mahindi alikufa kitambo sana na kaburi lake nalijua pale kilakala morogoro
Ninawajua hao watu. Marehemu Nicas alikuwa hatari.
 
Huwa ninacheka sana kipindi cha ''SIMBEYE" maaan amagwiji na maproffesa kizungu ni hatari bwana wewe!!!! acha mchezo??? kinakwama balaa!!! ukimtaiti proffesa wa bongo kuongea chenyewe nusu saa utacheka.. mbwembwe zinaanza mwanzoni ama akiwa anaonea kiswahili na kuchanganya na chenyewe. Sasa niliowahi kuwashuhudia wanaongea chenyewe bila kukwama ni

1. LAWRANCE MASHA

2.MTOTO WA PROFESA MAGHEMBE ambaye ni mbunge wa bunge la EAST AFRICA
Lau anaongea English proper.
 
Hivyo nyie wote mliochangia mada hii mnaakili kweli au ndiyo hazimo?
Mnapoteza mda wenu mwingi kutoa hoja za kipuuzi namna hii, mna akili kweli?

Badala ya kuwaza mambo ambayo yatawaletea maendeleo nyie mnakuja humu ku-discuss pumba.
Huko ni kupoteza energy na Resources.
 
How much money do you earn per day?
 
Back
Top Bottom