mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,277
Yule wa phd ya korosho anashika namba ngapi?!
Inakuhusu nini weweHivyo nyie wote mliochangia mada hii mnaakili kweli au ndiyo hazimo?
Mnapoteza mda wenu mwingi kutoa hoja za kipuuzi namna hii, mna akili kweli?
Badala ya kuwaza mambo ambayo yatawaletea maendeleo nyie mnakuja humu ku-discuss pumba.
Huko ni kupoteza energy na Resources.
Maendeleo unayajua wewe?Hivyo nyie wote mliochangia mada hii mnaakili kweli au ndiyo hazimo?
Mnapoteza mda wenu mwingi kutoa hoja za kipuuzi namna hii, mna akili kweli?
Badala ya kuwaza mambo ambayo yatawaletea maendeleo nyie mnakuja humu ku-discuss pumba.
Huko ni kupoteza energy na Resources.
Huyu hajui kiingereza,ni bure kabisa ,nasikia na la akina okwi analo.Tena yai lake ni lile la RP
Mheshimiwa Dokta Yohana wanzuki Magufuli anajua sana kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Sema hapendi tu kukitumia fluently.Huyu hajui kiingereza,ni bure kabisa ,nasikia na la akina okwi analo.
Namba moko afrika nzimaYule wa phd ya korosho anashika namba ngapi?!
Yani nimecheka kama kichaa, yani JF kibokoMheshimiwa Dokta Yohana wanzuki Magufuli anajua sana kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Sema hapendi tu kukitumia fluently.
Yeye ameamua kuwa mzalendo wa kutumia lugha ya kiswahili wakati wote.
Umesahau compoundUmesahau catalyst
Weka akiba mzeeYani nimecheka kama kichaa, yani JF kiboko
Nimecheka sanaLe Mutuz
Ephraim Kibonde
Jerry Murro
Km tulisha pambana na maisha Mungu akatujalia kua na maisha ya kawaida hata kujifurahisha utupangie ?????Ww km unawaza maisha daily subiri presha na vindonda vya tumbo tuache to relax kidogoHivyo nyie wote mliochangia mada hii mnaakili kweli au ndiyo hazimo?
Mnapoteza mda wenu mwingi kutoa hoja za kipuuzi namna hii, mna akili kweli?
Badala ya kuwaza mambo ambayo yatawaletea maendeleo nyie mnakuja humu ku-discuss pumba.
Huko ni kupoteza energy na Resources.
ZittoNaomba kujua wanasiasa wanaoongea kingereza kizuri sana Tanzania waliopo na waliopita Mimi naanza na hawa niliowahi kuwasikia live
Nyerere
Mkapa
Mwandosya
Salim Ahmed Salim
Dr Abdala Kigoda
Endeleza list pls...
I earn so much that I can maintain my living. I depend on my ability according to the way god the allmight has created me. I am not sitting down and start complaining like a dog who has not got its bone from his Master.How much money do you earn per day?
Serious people you will hardly see contributing anything in this thread.Great thinkers don't discuss people.Naomba kujua wanasiasa wanaoongea kingereza kizuri sana Tanzania waliopo na waliopita Mimi naanza na hawa niliowahi kuwasikia live
Nyerere
Mkapa
Mwandosya
Salim Ahmed Salim
Dr Abdala Kigoda
Endeleza list pls...