Vitu=Things Mbu=Mosquito A =A(remains the same)So the answer is ThingsmosquitoaAnd you're done.Msipende ku-complicate mambo.
Samahani, lakini naomba niulize; hivi vitumbua kwa Kiingereza vinaitwaje? Maana daah, kuna dogo hapa wa English Medium kaniuliza nimeshindwa kumjibu.
You have not adopted good morals from your elders.Umeona eh,sisi tunataka kila kitu kiwe na kiingereza chake,mfano kuna mshikaji wangu mmoja alikuwa na demu machepele wa kiingereza,basi siku mpja waligombana akaniomba nimwambie neno UMEKOSA RADHI YA WAZAZI KWA KIINGEREZA, nikamwambia Wazungu hawana mambo kama sisi Waswahili.
Samahani, lakini naomba niulize; hivi vitumbua kwa Kiingereza vinaitwaje? Maana daah, kuna dogo hapa wa English Medium kaniuliza nimeshindwa kumjibu.
safi kabisa,ila radhi aliyomaanisha yeye hapa ni ile ya baba/mama kuvua nguo na kukuonesha utupu wake halafu sisi watz tunaingiwa na imani ya kuwa mtu huyo atachanganyakiwa,nchi nilizotembelea watu wanaona uchi wa wazazi wao na hakuna lolote litokealo.You have not adopted good morals from your elders.
Pancake ni chapati za Maji, ile maneno inaitwa Rice cake
Itakuwa #Vitumbuazi and i stand to be corrected