Mkuu najua hiyo. Trump alifanya mispelling ya nenoMarekani wanaandika "honor", "specialized" "organized" ...etc. Mwingereza anaandika "honour", specialised". " organised".
Kuna kiingereza cha Marekani na Uingereza.
Sawa.Mkuu najua hiyo. Trump alifanya mispelling ya neno
"Precedented" akaandika "Presidented"
Watu wakapiga kelele. English mbovu.
Magufuli anajua KIINGEREZA tena sana!
Elimu shida ni Tanzania tu. We unaeona kama lazima ufike form six ndio uingie chuoni ndo pamekufanya ufikie hapo aulipofika, wenzetu mtoto wa darasa latano anakutengezea computer programs, we chuoni unatoka na PHD ya computer science website inakupiga chenga.baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?
View attachment 462409
View attachment 462412
Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha
patashika nguo kuchanika.
Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?
Mbona ni English nzuri tu, Clinton akiwa Rais alienda Ghana na moja ya hotuba zake alisema hivi.View attachment 462409
View attachment 462412
Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha
patashika nguo kuchanika.
Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?
View attachment 462409
View attachment 462412
Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha
patashika nguo kuchanika.
Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?
mkuu hili fumbo nimelipendaLengo la huu uzi ni kumsema mkemia tu...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mkuu Richard kuna clips mbili hapo juu, ipo ambayo ni sahihi baada ya kurekebisha yenye utata ni hii hapa. Hii nimeileta humu kwa sababu ya watu kumkandia JPM, just to let them know its not a big deal. Tanzanians wengi bado sana, ile kasumba ya mzungu haitaisha upesi.
BTW refa wa leo kazingua sana pale uwanjani, I was just not happy at all, aliminya pen ya Mustafi ndani ya box lakini ya Coq akaitoa na hata ile ya mwisho ni baada ya kuona amelikoroga ilibidi alinywe tu.
Mkuu Richard unaongelea taasisi ya rais wa USA. Are you kidding me? Do not take these things as simple as that, what next?Ni kweli ni "typing error" na siyo grammatical error kama watu wanavyotaka kumvalisha hilo kosa.
Halafu pia, alifanya usahihi wa neno hilo na kulihamishia katika akaunti yake mpya ya tweeter ya POTUS handle kutoka ile ya zamani aliyoweka neno lenye kosa yaani ile ya realdonaldtrump
Kwahiyo hata ile sheria ya "Presidential Records Act" haijavunjwa na rekodi zote zinawekwa sawa.
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.....
mwalimu wa kemia na hesabu, sijui Alishawahi kukufundishaMsema ukweli ni mpenzi wa Mungu.....
Hatari sana hii....[emoji12] [emoji12]
Kuna spelling error na grammatical errors....hii ya Trump ni spelling error and not grammatical error ambazo hufanywa sana na watu ambao lugha husika ni ya pili au ni ngeni.View attachment 462412
Corrected version
View attachment 462409
Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha
patashika nguo kuchanika.
Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?
Mkuu Richard unaongelea taasisi ya rais wa USA. Are you kidding me? Do not take these things as simple as that, what next?
BTW hacking ya DNC ilitokana na - a single misspelt e-mail kama ulifuatilia.