Mkuu, bbwaoy, Iko Mwanza mitaa gani hii kitu?.
Kama uko Mwanza itakua safi sana!!!!!
Niko Mza mkuu....
Kiingereza kinaongeza hadhi bana. Kinakufanya uonekane msomi, wa kileo, na mstaarabu.
Jamani kwa nini kila mtu akikanyaga tu lango la kuingilia mlimani city anaanza kuongea kingereza? Utasikia cha kuungaunga mara IS na WAS kibao. Kwani mkiongea Kiswahili chenu mtakuwaje? Acheni uzuzu ubitozi na usister duu!
Acha Hizoo, Rais wa China, Korea, Urusi, German, Italy nk hawajui kingereza na hawana mda na kutaka kukijua, huku Wananchi wao Wengi hawajui hiyo Lugha, hawa hawana Hadhi? Waarabu wengi hawajui Lugha hiyo mbona pesa ya Oman ndiyo yenye thamani kuliko pesa zote Duniani?
Wabongo bwana 😂😂😂
Mtu unamsemesha kiswahili anakuchanganyia lugha, ukiongea kingereza anaanza kuchanganya R na L humo humo kingerezani, past tense zinakuwa future na future zinakuwa present, present tense zinakuwa mixed grill😂😂😂
Ona sasa umeshanichanganya...mara kiswahili mara kidhungu
Kiswanglish ndo habari ya mlimani city
Kiswanglish ndo habari ya mlimani city
Sasa tusioijua lugha tufanyeje?
Muwe na pesa nyingi na ukazie kiswahili fasaha, automatically wazungumza kingereza wataswitch mtaelewana. 🙈🙈
Nisiejua lugha Ya malkia nitajibeba mwaka huu