Kiingereza Cha Mama Anna Makinda.....

muhimu ni kama ANAELEWEKA tu! hizo nyingine ni mbwembwe tu......!
 
Napata taabu sana kuelewa kiingereza anacho ongea mama Makinda au sijui ni kwa sababu kiko deep sana ama kinasound kibantu zaidi?.....yote tisa kumi ni kwamba sijawahi kuwasikia mh Mkuchika,Asnain Murji, Shibuda Anna Abdala wakiongea kizungu hongereni kwa kukienzi kiswahili.

Ukishajua Kiingereza Unapata Nini? Sasa Wewe unajua Hicho Kiingerereza ila Huna Hadhi Kama Ya Mama Makinda na Utakufa na Umasikini Wako Huo Huo Pamoja na Kiingereza Chako hicho. Halafu Mbona Wanaokijua Huwa Hawashoboki na Wala Huwa Hawapendi Kujionyesha Kama Wanakijua na Wanakiongeza Isipokuwa tu Pale Inapobidi? Ndio Tatizo Ukizaliwa ktk Ukata na Siku Ukizibahatisha tu Nyodo Nyingi Mitaani. Mwacheni Mama wa Watu na Isitoshe Tunamwelewa Mno tu Akiwa Anazungumza ila Huwa Napenda Sana Mfano wa Mama ASHA ROSE MTENGETI MIGIRO Kwa Kupenda Sana Kuzungumza na Kukisifia KISWAHILI chetu Wakati ni Mzungumzaji Mzuri Sana Wa Kiingereza Pale Inapobidi tu ila Hakitukuzi Hicho Kiingereza Chenu. Mmekuwa Wepesi Sana Kuwashambulia Viongozi Kuwa Hawajui Kiingereza Wakati Usishangae hata Wewe Mwenyewe Hujui Kuongea Vizuri Kiingereza na Hata Wazazi Wako au Ukoo Wako Wote Nao Hawajui bali ni Wewe tu Ndiyo Umeona Mwezi na Umetoa Tongotongo. Mnaudhi na Ndiyo Maana Nawapaka na Mkinichukia Shauri Yenu Washamba Wakubwa.
 
okeee senki yu veri machiiii...anaza wani puliizii
 
Mh. Prof. High Water, wa Mheza anajitahidi sana kupiga kiinglishi ingawa inakuwa ni mseto zaidi (kiswa-nglishi).
 
kwa dunia ya leo ni muhimu viongozi wakafahamu kuongea lugha za kimataifa especially kiingereza .sijui kama wabunge wote wanalifahamu hili.

Kwani kingereza ni sifa mojawapo ya Mtu kuchaguliwa ubunge? Mbona una akili mgando?
 
Ungenge wito, siku bunge likiamua kutumia ngeli kama lugha ya mijadala basi kuna waheshimiwa watamaliza miaka mitano bila kuchangia. na wengine kuachana na siasa kabisa.

CC:profesa maji
La kairo
Lusinde
sofia simba
...........
 
Wala mama yuko njema kabisa katika lugha jaribu kustudy taratibu tena yeye ujue ni yale matunda ya uhuru enzi za elimu ikiwa bado haijaingiliwa na mamluki,she is very good,sema hicaps hazikosekani lakini yuko sawa

Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia, Makinda yupo vizuri kwani nimejaribu kusikiliza baadhi ya clip zake kwa ujumla anaongea Kingereza kizuri, Kumbuka hizo ni product za middle school enzi zile za Mwalimu. Indeed she is good!
 
Ungenge wito, siku bunge likiamua kutumia ngeli kama lugha ya mijadala basi kuna waheshimiwa watamaliza miaka mitano bila kuchangia. na wengine kuachana na siasa kabisa.

na hii ndo ingekuwa mwarobaini wa magomvi bungeni yani kungekuwa shwari
 
Babu, umesahau siku wabunge la EAST AFRICA wakiomba kura pale mjengoni, Lugha ilikuwa ishu, mpaka yule wa kule bondeni akajitoa....
 
tuache excuse za kijinga wakati wa kujivunia kiswahili umeshapita, ukivuka mipaka tu usipojiangalia unakua bubu huewezi kujichanganya na wengine comfotably
 
Waraka wa Zitto na wenzake unasema...''Elimu ya mwenyekiti ni ya magumashi, hana vision na hana uwezo wa kujieleleza'' ....Tundu Lissu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom