''Kiinachofuata ni kupigwa chini fasta'' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

''Kiinachofuata ni kupigwa chini fasta''

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ziltan, Aug 20, 2011.

 1. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,345
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Binafsi nashindwa kuwaelewa hawa ndugu zetu wanaokuwa na wake zao halafu wanapiga kambi kwa wanawake wengine (nyumbandogo/kimada)
  kwani binafsi ninavyoamini ni kwamba hao wanawake wa upande wa pili ni vigumu kuweza kufungua mioyo yao na wakapenda kwa dhati coz ,wao watakuona kama mtu usiye na msimamo kwani kama leo upo kwao kesho utahamia kwingine kama ulivyomfanyia mkeo,
  zaid ukishaoa unapoteza uhalali na sifa ya kupenda au kupendwa kimapenzi na mwanamke mwingine,
  naona kama huko mnatumika tu kuwawezesha na laiti wakibahatika kupata choice zao ''kinachofuata ni kupigwa chini fasta ''na kurudi kuheshimiana na mkeo huku ukiwa umenyong'onyea kimwili hadi kiuchumi.
  Uongo/ kweli?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  ...kweli......
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mmh..nyumba ndogo tamu asikuambie mtu!
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Aug 20, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini kunakuwa na huu usadiki wa kwamba mwanamume amuibiaye mkewe yeye huyo mkewe haibii na wanaume wengine?

  Au ni kwa vile wanawake wao huwaga hawaibii na kama ikitokea wameibia eti wanasemaga "lazima kuwe na sababu" au watakuwa "wamependa" huko kwingine?

  Inachekesha!
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mbona sasa hujacheka...?!

  Inabidi kweli mada kama hizi ambazo hazimhusu “mtu maalum“ ziwe zionaongelea pande zote mbili. Kama ambavyo umesema mwanaume anapoteza ile haki ya kupendwa nje (japo sikubaliani na hili maana anaweza kupendwa bila yeye kutaka) ieleweke kwamba hata kwa mwanamke ni vivyo hivyo.

  Nae huko kwa bwanake anaonekana wa ajabu tu...ndio maana wengi huwa wakiachika kwa waume zao zile wale walikua wanacheat nao wanakimbia na porojo zao za “haki ya nani usingekua umeolewa ningekuoa“ zinayeyeukia mbali. Kwasababu hata wanaume nao wanakua wanajua kwamba kama huyu aliweza kumcheat mumewe hata mimi anaweza kunifanyia hivyo hivyo.

  Ila bado wapo wale wachache ambao hua wanabebana mazima...unakuta nyumba ndogo inasaidia na kusaidia kuikorofisha nyumba kubwa ili iondoke nayo ipandishwe cheo. Hawa hua wanaaminishana kwamba aliyeoa/olewa mwanzo hakua sahihi na yeye ndo ambae anafaa. Badala ya lwenda kucheat ningeshauri wale waliopo kwenye situation hii (kuoa kwamba walikosea) achaneni upate uhuru wako wakumpata yule ambae unadhani ndio sahihi pia umtendee mwenzako haki akampate atakae mwona sahihi. Sio unampata unaedhani anakufaa kwa kucheat nae au kwakumsaidia kucheat alafu siku mwenzi wako akicheat na wewe unaanza kulia/kulalamika/kushutuma as if hukujua kwamba hata kwao inawezekana kusalitiwa!!
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  its just amazing if nt fascinating to see how desperate human race has become! desperate for lov, attention, u name it! bt there is one lov that quenches the thirst! u discover it, u have discoverd it all!
  yaani mada hii imenikumbusha mdada aliyekuwa na affair na mchumba wa dadake. jamaa akachanganyikiwa hadi akamvua pete dada wa watu. baadae yule mdada alimpiga chini jamaa, telling him if u could sleep with me hata tukioana uta-sleep na ndugu zangu na rafiki zangu. jamaa aliishia kudata tu! mtendwa hutendwa, what goes around comes around. no body is invisible, unless uko jf,lol!
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Aug 20, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Hi there booskie
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Haya ni mafundisho ya dini ya kigaidi.
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Aug 20, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Good keen sense of fairness.
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Dini ya kigaidi ndio ipi hiyo?
   
 11. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kama unataka kuonja raha ya kubebwa mgongoni ukipelekwa bafuni na kurudishwa kitandani, basi hutaipata pengine popote zaidi ya nyumba ndogo! Acha tunyong'onyee kimwili na kiuchumi, lakini raha twapata.
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kwanini msiwaoe hao nyumba ndogo ili muwe mnazipata usiku na mchana badala ya kua limited!!?
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  mwala, mwaliwa?
  <br />
  <br />
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  whatdya mean, bra?
  <br />
  <br />
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ni obvious, hata ukiamua kumuoa, still utapata best services!
  ukioa mwanamke zaidi ya mmoja unaongeza competition baina yao! Kila mmoja anataka akupe vitu vya ziada ili uwe unatumia muda mwingi kwake!
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Owkeyy...na mimi ntatafuta waume wawili ili nao wawe wanashindana kwaajili yangu!!
   
 17. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wewe si una thread ya kutafua mchumba wa kuoa hapa!
  Wewe hufai ni balaa unataka kuharibu dada zetu wa Jf.
   
 18. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Huyo anayetafuta mchumba ni pacha mwenzangu, sura tunafanana sana. Siyo mimi!!
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Mara nyingi saana mtu ambae anakubali kua nyumba ndogo kamwe hafikirii hio in red.... Mara nyingi yeye hufikiria in terms ya kusema yeye ni mzuri na ni bora kuliko the original wife, hivo kujiamini mno, na sababu baba/kaka zetu humtunza na kumjali zaidi, saa ingine humjengea hata kiburi na kutaka hata amfuate the original wife... However wako aina tatu...
  1. Yule mtambuzi ambae anajua kua the original family ni ya muhimu na ina play part muhimu kwa huyo hawala - wa design hii hudumu kwa mda mrefu na hata uko mbeleni aweza hata halalishwa, maana yeye ni mjanja na hana papara.
  2. Yule ambae ni limbukeni... akiona yeye ndio yeye, na kwamba akikohoa tu mwanaume huyo aweza acha familia yake (anaweza fanikiwa thou very rare). Huyu ndo yule hufunga hata safari hadi kwa the original wife kujitangaza ili kumkomoa (kwa kukosa kwake akili) - huyu mara nyingi hadumu maana wanaume saa ingine nyumba ndogo ni kwa ajili ya kupungaza stress za home... hivo akiongeza stress anatupwa chini.
  3. Na yupo yule kwamba she is having fun... in short Mpunga na Sex....
   
 20. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #20
  Aug 21, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ukweli ni jambo lakushangaza sana maana huwa ni aibu na karaha sio kundididmiza uchumi, pengine anaweza leta magonjwa kwenye familia na mke wake nakuongeza uhasama ndani ya jamii
   
Loading...