Kiimani zaidi

Kiimani zaidi

Ubongo.jpg
 
CC : @sakayo
View attachment 471884 Basi msalipo fanyeni hivi...[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] Mungu wetu si kiziwi kwamba hatasikia sauté yako. ..huhitaji kupayuka wala kupiga kelele... ndio maana unaaswa kwamba utakapo taka kusali funga mlango fanya maombi yako kwa utulivu. ...Na Baba yako aliye sirini atakujazi

Jr[emoji769]
 
Tena ombeni kwa imani,maana mtu aombae bila imani asidhani kama atapata kitu,tena msiombe tu,ombeni mkiwa mmejitoharisha ki roho na kimwili.Ondoeni hila yote mioyoni mwenu,majivuno,chuki ,husuda,unafiki,choyo,wivu,ubinafsi,upendeleo,nia mbaya,mawazo mabaya,tamaa,na uchafu wote ndipo neema ya Mungu itawafikirieni, nje na hapo utaomba na wala hutapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji116][emoji109][emoji109][emoji123][emoji123]
Tena ombeni kwa imani,maana mtu aombae bila imani asidhani kama atapata kitu,tena msiombe tu,ombeni mkiwa mmejitoharisha ki roho na kimwili.Ondoeni hila yote mioyoni mwenu,majivuno,chuki ,husuda,unafiki,choyo,wivu,ubinafsi,upendeleo,nia mbaya,mawazo mabaya,tamaa,na uchafu wote ndipo neema ya Mungu itawafikirieni, nje na hapo utaomba na wala hutapata.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
[emoji116][emoji116][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mshana Jr kuna wakati nilishaanza kukufikira kama mganga wa kienyeji mjanja mjanja sana.
Ungefaa sana kusomea theology,maana unajua both sides.

Jr[emoji769]
 
Mshana Jr kuna wakati nilishaanza kukufikira kama mganga wa kienyeji mjanja mjanja sana.
Ungefaa sana kusomea theology,maana unajua both sides.
Zaburi 5:3
[3]BWANA, asubuhi utaisikia sauti yangu,
Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.
 
Sasa majirani watajuaje nasaligi, leta supika leta tumaiki kanyaga shetani volumeeee weka mwisho😂😂😂
 
Sasa majirani watajuaje nasaligi, leta supika leta tumaiki kanyaga shetani volumeeee weka mwisho[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ni mafarisayo na masudukayo.. Wameshahesabiwa haki yao tayari.. Bali wewe usifanye hivyo, asema Bwana Mungu wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom