Kiimani zaidi

Kiimani zaidi

View attachment 471884 Basi msalipo fanyeni hivi...[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] Mungu wetu si kiziwi kwamba hatasikia sauté yako. ..huhitaji kupayuka wala kupiga kelele... ndio maana unaaswa kwamba utakapo taka kusali funga mlango fanya maombi yako kwa utulivu. ...Na Baba yako aliye sirini atakujazi
Amen mkuu...
 
Asante sana kwa somo Mshana Jr... japo sikuelewagi kbsa uko pande mbili za kiimani
 
Wala msiwe Kama mataifa kwakuwa wao tayari wameshajesabiwa haki yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom