The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,111
- 21,983
Kinachonishangza zaidi ni kelele za kila siku za hao watu wapigania haki za binadamu bila hatua yoyote zaidi ya porojo za maneno tuMbona kama hii mada hai make any sense. Yeye kuja na machafuko Kuna uhusiano Gani.
HapangiwiRio Fernand kimeshasnza kumlamba huko, sisi tulimshauri akashupaza shingo.
Mashirika ya haki za binadamu yamemulaumu kwa hatua yake ya kuitembelea Tanzania nchi ambayo imemwaga damu nyingi sana za watanzania wengi wasiokuwa na hatia.
Bali na shirika hilo watu wengi sana wapenda haki hawajapendezwa na ujio wake kwani Tanzania kwa sasa si salama na iko chiji ya uangalizi wa kimataifa.
ikumbukwe pia kwamba.Paul Makonda anakizuizi cha Marekani kutembelea taifa hilo. bila aibu Fernand anapiga selfie na majangili ya Tanzania.
View attachment 3592237
Gentleman,Rio Fernand kimeshasnza kumlamba huko, sisi tulimshauri akashupaza shingo.
Mashirika ya haki za binadamu yamemulaumu kwa hatua yake ya kuitembelea Tanzania nchi ambayo imemwaga damu nyingi sana za watanzania wengi wasiokuwa na hatia.
Bali na shirika hilo watu wengi sana wapenda haki hawajapendezwa na ujio wake kwani Tanzania kwa sasa si salama na iko chiji ya uangalizi wa kimataifa.
ikumbukwe pia kwamba.Paul Makonda anakizuizi cha Marekani kutembelea taifa hilo. bila aibu Fernand anapiga selfie na majangili ya Tanzania.
View attachment 3592237
Mtatoa kila aina ya kilio mwaka huu.Gentleman,
kwahiyo wew ukialumiwa tu inakua kimekuramba, right?
na kwamba unahitaji kufundishwa na kuelekezwa na watu fulani sehemu fulani namna ya kuishi na kuinjoy maisha yako, right?
lofa kweli gentleman, dah 🐒
Kinachoomiza ni Watanzania wengi kuamini kwamba Makonda anakuza michezo wakati ni kampeni ya kumsafisha muuaji😭Sijawai kuona mwingereza mjinga hivi
Halafu watanzania sisi hasa waandishi ni wapumbavu Sana
Kiufupi hatuna nchi kwa Sasa ni magenge tu ya wahuni.
Muda si mrefu Bongo atamshukiaSijawai kuona mwingereza mjinga hivi
Halafu watanzania sisi hasa waandishi ni wapumbavu Sana
Kiufupi hatuna nchi kwa Sasa ni magenge tu ya wahuni.
Mbona jamaa hapost?Rio Fernand kimeshasnza kumlamba huko, sisi tulimshauri akashupaza shingo.
Mashirika ya haki za binadamu yamemulaumu kwa hatua yake ya kuitembelea Tanzania nchi ambayo imemwaga damu nyingi sana za watanzania wengi wasiokuwa na hatia.
Bali na shirika hilo watu wengi sana wapenda haki hawajapendezwa na ujio wake kwani Tanzania kwa sasa si salama na iko chiji ya uangalizi wa kimataifa.
ikumbukwe pia kwamba.Paul Makonda anakizuizi cha Marekani kutembelea taifa hilo. bila aibu Fernand anapiga selfie na majangili ya Tanzania.
View attachment 3592237
Duuh amefanya nini kwaniRio Fernand kimeshasnza kumlamba huko, sisi tulimshauri akashupaza shingo.
Mashirika ya haki za binadamu yamemulaumu kwa hatua yake ya kuitembelea Tanzania nchi ambayo imemwaga damu nyingi sana za watanzania wengi wasiokuwa na hatia.
Bali na shirika hilo watu wengi sana wapenda haki hawajapendezwa na ujio wake kwani Tanzania kwa sasa si salama na iko chiji ya uangalizi wa kimataifa.
ikumbukwe pia kwamba.Paul Makonda anakizuizi cha Marekani kutembelea taifa hilo. bila aibu Fernand anapiga selfie na majangili ya Tanzania.
View attachment 3592237
Hakuna mahusiano kamaMbona kama hii mada hai make any sense. Yeye kuja na machafuko Kuna uhusiano Gani.