Kigwangalla afunika Bungeni

Kigwangalla afunika Bungeni

chikakatata

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
220
Reaction score
98
Hotuba aliyoitoa jana mwenyekiti wa kamati ya TAMISEMI hapa mjini Dodoma imefunika Bunge kumfanya Kigwangalla awe shujaa wa wakati mpaka sasa hakuna aliyemfikia.

Ameweza kukonga nyoyo za watu sana haswa pale alipozungumzia kubana matumizi kwa kutaka serikali ipunguzwe saizi.

Na pale alipoongelea mapato ya asilimia 10 ya vijana na ile asilimia 60 own collection ya ndani kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.

Hotuba ya Kigwangalla kwa jana na ya leo zimewagusa sana wabunge wenzake kiasi cha kila mchangiaji toka jana jioni wamekuwa wakimnukuu, jambo ambalo si la kawaida.
 
Aseme ukweli ila amechelewa kwani hili bunge la mwisho wabunge wengi wa ccm lazima waanze kujitetea majimbo huko kumeshanuka kabisa .
 
Hotuba aliyoitoa jana mwenyekiti wa kamati ya TAMISEMI hapa mjini Dodoma imefunika Bunge kumfanya Kigwangalla awe shujaa wa wakati mpaka sasa hakuna aliyemfikia.

Ameweza kukonga nyoyo za watu sana haswa pale alipozungumzia kubana matumizi kwa kutaka serikali ipunguzwe saizi.

Na pale alipoongelea mapato ya asilimia 10 ya vijana na ile asilimia 60 own collection ya ndani kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.

Hotuba ya Kigwangalla kwa jana na ya leo zimewagusa sana wabunge wenzake kiasi cha kila mchangiaji toka jana jioni wamekuwa wakimnukuu, jambo ambalo si la kawaida.

....ambalo si jambo la kawaida...!!!
 
Huu uzi amesifiwa mbunge wa ccm sio mbaya,nyie wachaga hamkupaswa kuleta vioja hapa,kwanini msisifie kina sugu na lema?mtu akifanya vizur pongezi ni haki yake kigwangala katisha kwa speech zake
 
Humu ndani kuna vichwa maji,we unadhani wote tumefatilia bunge...humu ndo huwa tunapata habari.
 
Lakini alovyoongea leo kabadilisha kabisa hotuba yake ya jana na si ajabu uchangiaji wake wa leo ukamgharimu.Yule wa Kigoma leo amesema ukweli kuhusu kusafishwa watuhumiwa wa Escrow sasa sijui na yeye kesho atabadilisha mchango wake...????
 
Hotuba aliyoitoa jana mwenyekiti wa kamati ya TAMISEMI hapa mjini Dodoma imefunika Bunge kumfanya Kigwangalla awe shujaa wa wakati mpaka sasa hakuna aliyemfikia.

Ameweza kukonga nyoyo za watu sana haswa pale alipozungumzia kubana matumizi kwa kutaka serikali ipunguzwe saizi.

Na pale alipoongelea mapato ya asilimia 10 ya vijana na ile asilimia 60 own collection ya ndani kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.

Hotuba ya Kigwangalla kwa jana na ya leo zimewagusa sana wabunge wenzake kiasi cha kila mchangiaji toka jana jioni wamekuwa wakimnukuu, jambo ambalo si la kawaida.
Mkuu ingekuwa vyema kama ungeiweka hiyo hotuba sasa wewe mwanzo mwisho ni kusifia tu, iweke tuisome tuone alivyofunika.
 
Huu uzi amesifiwa mbunge wa ccm sio mbaya,nyie wachaga hamkupaswa kuleta vioja hapa,kwanini msisifie kina sugu na lema?mtu akifanya vizur pongezi ni haki yake kigwangala katisha kwa speech zake

Kwa hiyo wabunge woooooote wamekimbia kisa katisha????
 
Kigwangala amekuwa akitetea Serikali ya CCM kwa miaka 5... sasa anawageuka kwasababu ni mwaka wa uchaguzi! kuna nini cha ajabu wakati msigwa alikwisha waambia kuwa haya matatizo yaliyoletwa na CCM hayawezi kuondolewa na CCM ... Wamechokaaa Mbaya kabisa ..
 
Back
Top Bottom