Mbona unampigia debe huyo jamaa kiasi hicho?Hotuba aliyoitoa jana mwenyekiti wa kamati ya TAMISEMI hapa mjini Dodoma imefunika Bunge kumfanya Kigwangalla awe shujaa wa wakati mpaka sasa hakuna aliyemfikia.
Ameweza kukonga nyoyo za watu sana haswa pale alipozungumzia kubana matumizi kwa kutaka serikali ipunguzwe saizi.
Na pale alipoongelea mapato ya asilimia 10 ya vijana na ile asilimia 60 own collection ya ndani kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.
Hotuba ya Kigwangalla kwa jana na ya leo zimewagusa sana wabunge wenzake kiasi cha kila mchangiaji toka jana jioni wamekuwa wakimnukuu, jambo ambalo si la kawaida.
lema na sugu wanaweza kusifiwa kwa kufanya fujo tu bungeni na sio kwa hoja. hoja wazitoe wapi? labda viroja!Huu uzi amesifiwa mbunge wa ccm sio mbaya,nyie wachaga hamkupaswa kuleta vioja hapa,kwanini msisifie kina sugu na lema?mtu akifanya vizur pongezi ni haki yake kigwangala katisha kwa speech zake
Hotuba aliyoitoa jana mwenyekiti wa kamati ya TAMISEMI hapa mjini Dodoma imefunika Bunge kumfanya Kigwangalla awe shujaa wa wakati mpaka sasa hakuna aliyemfikia.
Ameweza kukonga nyoyo za watu sana haswa pale alipozungumzia kubana matumizi kwa kutaka serikali ipunguzwe saizi.
Na pale alipoongelea mapato ya asilimia 10 ya vijana na ile asilimia 60 own collection ya ndani kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.
Hotuba ya Kigwangalla kwa jana na ya leo zimewagusa sana wabunge wenzake kiasi cha kila mchangiaji toka jana jioni wamekuwa wakimnukuu, jambo ambalo si la kawaida.
Hotuba aliyoitoa jana mwenyekiti wa kamati ya TAMISEMI hapa mjini Dodoma imefunika Bunge kumfanya Kigwangalla awe shujaa wa wakati mpaka sasa hakuna aliyemfikia.
Ameweza kukonga nyoyo za watu sana haswa pale alipozungumzia kubana matumizi kwa kutaka serikali ipunguzwe saizi.
Na pale alipoongelea mapato ya asilimia 10 ya vijana na ile asilimia 60 own collection ya ndani kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.
Hotuba ya Kigwangalla kwa jana na ya leo zimewagusa sana wabunge wenzake kiasi cha kila mchangiaji toka jana jioni wamekuwa wakimnukuu, jambo ambalo si la kawaida.
binafsi kwa upande wa wabunge wa ccm kigwangallah afadhali kidogo kuliko wale wemzake.