sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
utalijua jiji, nenda kasulu watakupa jibu
Unafaa kujiunga mashauzi classic wewe! Fanya huo mpango uondokane na kujidhalilisha kwaajili ya buku 7
utalijua jiji, nenda kasulu watakupa jibu
chagadema
kilichopo kichwani mwako, ndio umekiandika.
hebu niambie hawa waha wako wapi leo??????
1.dr walid kaburu
2. kafulila
3. na sasa zitto kabwe
angalia utazeeka ukiwa nunga yembe weweSasa ya kwako unategemea itakuwa sawa
chagadema
ubadhirifu wa ruzuku ya chamaDhambi ya usaliti imewatafuna hao
angalia utazeeka ukiwa nunga yembe wewe
chagadema
slaa nusura wamuue kasulu.Maskini, unapambana ila pole manake huwezi
ubadhirifu wa ruzuku ya chama
kula mapato ya chama na kununulia majumba dubai
kuchota mapesa ya ruzuku ya chama na kwenda kuvinjari na mahawara ulaya
jibuni hoja zilizopo kwenye mkakati wa mabadiliko 2013, na zile za mwigamba.kuwafukuza haisaidii. umewafukuza hao wawili lakini watazaliwa wengiAkili ndogo hukimbilia kujadili udini, ukabila na ukanda andika hoja.
slaa nusura wamuue kasulu.
mtei mwenye nyumba
mbowe mtoto wa mwenye nyumba
slaa mpangaji
kiongozi mkuu is too local. (mkakati wa mabadiliko 2013)Aaah..... Unatuchosha na haya masingle ya kizamani eboooo! Vipi hamjatoa hata remix? Hiyo single haiuzi tena bana
hii inadhihirisha kuwa chadema imekufa rasmi
ubadhirifu wa ruzuku ya chama
kula mapato ya chama na kununulia majumba dubai
kuchota mapesa ya ruzuku ya chama na kwenda kuvinjari na mahawara ulaya