sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
LISSU alicheza karata zake kwa pupa akamaliza akabaki na JIKE_mtaalam ZZK akabakiza DUME, tumeshuhudia SERENA LISSU AKIOLEWA_chezea prof wa siasa za Bongo_lazima azame na Chame, mzamisheni muone
Yaani wewe, mwenzio ameshaanza kuzamishwa wewe badala upige mbizi kumwokoa eti unaagiza azamishwe zaidi ha ha ha... Eti leo kamtuma msando amwombee msamaha, kuna mtu anasema kesho atatuma wazee, kuna ukweli hapo?