heri kifo cha cuf na nccr kuliko cha hili genge la waporaji
Asante sana kamanda kwa update! Endelea kutujuza picha siyo lazima. ila ikiwepo tupia
Hana uwezo wa picha za ukweli hata hii alisema ni kijijini Nyarubanda Kgm Kaskazini kumbe ni Kasulu Mjini nimekubali propaganda ndiyo nguzo kuu katika siasa. Sioni tofauti ya CHADEMA na CCM wala cha NCCR na CUF bora ya soka la kibongo mnagongwa wote ninaona.
View attachment 126055
c u when u c me!
waha ni wazuri ila zitto ni mbaya....is it? machadema mna matope kweli. do you think tanzanian are lazy in thinking as you are?
kadanganye wajinga, wasiofuatilia mambo, mkutano hauna watu, ndio mana hata ule wa asubuhi haukufanyika, hata huu ni watoto tu ndio wengi wamefata muziki
Umesha tumbukiza udini, Zitto amehukumiwa kwa matendo yake sio kabila lake.
mnaipata aibu ya mwaka mpaka mpate adabu. mnawageuza watu misukule kwa uongo
kwanini mkutano wa asubuhi haukufanyika?Kama ni ya Uongo mbona wewe hujaweka picha ya ku-backup statement yako.Wewe ndio wa kupuuza
mkuu tuwekee na picha kabisa, ili tuone!kadanganye wajinga, wasiofuatilia mambo, mkutano hauna watu, ndio mana hata ule wa asubuhi haukufanyika, hata huu ni watoto tu ndio wengi wamefata muziki
Kama ni ya Uongo mbona wewe hujaweka picha ya ku-backup statement yako.Wewe ndio wa kupuuza
kilichopo kichwani mwako, ndio umekiandika.
hebu niambie hawa waha wako wapi leo??????
1.dr walid kaburu
2. kafulila
3. na sasa zitto kabwe
Mwanasiasa aliyekomaa ni yule ambaye anaweza kuhutubia watu wachache na si yule ambaye yupo tayari kutumia pesa nyingi kusomba watu toka kila kona ya mji ili kujaza watu ili ionekane mkutano wake umejaza watu.
Ningependa tupate pucha halisi ya kile kinachoendelea maana ukomavu wa kisiasa hauji kirahisi na ukiona nyumba ambayo haina changamoto ujue mbeleni ni majanga.
Slaa hakuna kurudi nyuma na mwisho wa siku wananchi wataelewa pumba ni zipi na mchele ni upi.