sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
ZZK hawez kuomba msamaha asilan_Kigoma yule, kwetu hazaliwi -----
Ashaanza kutapatapa mbona? Bado hujaona ?
ZZK hawez kuomba msamaha asilan_Kigoma yule, kwetu hazaliwi -----
We masalia nipo mkutanoni cdm noma inapendwa tu??angalia itv jioni chi...we.p[eoplessssssssssssssssssssss.......................poweeerrrrrrrrrrrrrrr
Ni bora yule wa Lumumba anayeweka picha za ukweli kuliko yule wa field anayetuma picha za mwaka 2010.
Ha ha ha ha.... Endelea kumdanganya baba wa watu wakati tayari anapumulia mashine.... Ikitolewa tu kwisha habari yake.... Hatuna urafiki na wasaliti kama yeye
teh teh, mkuu unataka wakazi wa kigoma wote waende kwenye mkutano? Je huo uwanja utatosha? Je wana kigoma wote ni wanachadema?
Dr kachemsha watoto watupu wamefuata mziki, namtafuta Makene kajificha aibu
Hii ID, hujisikii aibu kujiita sweetlady?
kazi unayo baba ila umekutana na vichwa vilivyokuzidi maarifa.
weka picha mkuu!Dr kachemsha watoto watupu wamefuata mziki, namtafuta Makene kajificha aibu
Chama kimebakisha utmost siku 20 kabla ya kufa, watu wanatapatapa sasa.
Wassira ana akili sana...
Ni bora yule wa Lumumba anayeweka picha za ukweli kuliko yule wa field anayetuma picha za mwaka 2010.
Dr.Slaa wa Dec 2013 ni sawa na JOKA LA KIBISA.
Baba nasikia ana mpango wa kwenda kumlilia msajili ha ha ha ha