hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
Ficha upumbavu wako, usifiche hekima yako..... Yeyote msaliti tunafukuza tu haijalishi anatoka mkoa gani....
hakuna wa kuzuia kifo cha chadema
Ficha upumbavu wako, usifiche hekima yako..... Yeyote msaliti tunafukuza tu haijalishi anatoka mkoa gani....
kiongozi mkuu is too local. (mkakati wa mabadiliko 2013)
Wewe taahira mzee ndie unatakiwa kupuuzwa... Vipi umeacha kuongea peke yako barabarani?
kiongozi mkuu is too local. (mkakati wa mabadiliko 2013)
sixgates umma wa wapenda demokrasia upo upande wenu, tunawaamini kwa kuwaumbua hawa wanafiki kina Molemo and Co
kwa hiyo ruzuku inaliwa na kuishia hapo hapo makao makuu kumbe. ndio mana wanachama mikoani na wilayani wanalalamikia ufisadi huu wa ndani ya chama makao makuuNjoo makao makuu ya chama uone pesa za ruzuku zinavyo tumika
hakuna wa kuzuia kifo cha chadema
Hayo ni maneno ya mkosaji hata kwenye kanga yapo,wanaccm ni wanga wa usiku,anacheza mirangoni usku kucha ukitafta faida gani anapata huioni ila yeye anajiona Yuko vizuri tu.
marehemu chadema (rest in peace)
hii habari inaandaliwa usiku , ukifika mda anipost, kwel mmeshiwa,
wanaanda maneno ya kuingia nayo hapa, mara kigoma yazizima , dr. Silaa apokelewa km mfalme, mara maandamano makubwa kumpokea dr,
ukienda kwenye field ni hewaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Yaani wewe, mwenzio ameshaanza kuzamishwa wewe badala upige mbizi kumwokoa eti unaagiza azamishwe zaidi ha ha ha... Eti leo kamtuma msando amwombee msamaha, kuna mtu anasema kesho atatuma wazee, kuna ukweli hapo?
una utani na maccm wewe! Nitakuitia kina mtemi Endrew chenge wakushughulikie!ubadhirifu wa ruzuku ya chama
kula mapato ya chama na kununulia majumba dubai
kuchota mapesa ya ruzuku ya chama na kwenda kuvinjari na mahawara ulaya
Yaani ukweli utoke kwa mtu aliye Lumumba nyuma ya PC kuliko yule aliyeko field uwanjani? Kweli nyie mataahira. Danganyaneni wenyewe ili mlipwe basi.
kabla chadema haijafa utakufa wewe na kizazi chako chote ujumlishe hapo na ccm