mkuu, hayawi hayawi, yamekuwa, walisema hakanyagi kigoma,ametia timu, chezea dr. Slaa weye!
Nani kakwambia mi ni kaka?
ha ha ha kwa haya kubwa unaandika picha sio lazima lakini picha huongea zaidi ya maneno 1000 wekeni picha hapaAsante sana kamanda kwa update! Endelea kutujuza picha siyo lazima. ila ikiwepo tupia
Hamna kitu. Soma hapa huu ndio ukweli wenyewe http://habari24.blogspot.com/2013/12/huu-ndio-ukwelimikutano-ya-dk-slaa.html?spref=fb&m=1Slaa anazidi kuaibika, huo ndio ukweli. Mleta mada anapotosha umma
View attachment 126117Hawajui hata katiba ya chadema inayotumiaka ni ya mwaka 2006
Picha inaonyesha wananchi wamejawa na hofu sana! Nadhani Redbrigade imewatishia kuwa chacha wangwe!
Nenda ila roho inauma.
mkuu, hayawi hayawi, yamekuwa, walisema hakanyagi kigoma,ametia timu, chezea dr. Slaa weye!
Mkutano umeisha peacefully
tumaini hii ndio nyomi ya watu?? mmefilisika aisee inabidi mzibwe kwa viraka lol babu kwisha kazi kwa chuki zake kwa waislamu ndani ya chademaKigoma mjini hiyo imezizima leo mkutano wa Katibu Mkuu, Dkt. Slaa, ambaye amemaliza mkutano punde, akiwaacha wananchi na hamu ya kuendelea kumsikiliza wakati akishusha nondo za mahesabu ya ruzuku na mapato mengine ya chama.
Sasa anaelekea kwenye kikao cha ndani, Baraza la Mashauriano la Mkoa.
tupiamo kapicha basii mukubwa malemo
Hizi alizotupia Yegella sijui kama ni za lini hajasema
kwani uongo??Kesho gazeti la uhuru utasikia mkutano ulidoda
Kuwatisha raia sio jambo zuri,watu walikuwa na mabango yao,mmewapiga sana na kuwatishia wale chinjachinja wenu sijui red nini!