Kumbe nawe ni mhenga. Ulikuwa ukisubiri basi la kurudi kwa wiki nzima. Halafu Barabara ya Kasulu Kibondo ilikuwa ni tabu sana. Mvua ikinyesha, utelezi na wakati wa kiangazi poda (vumbi). Kama sasa ni lami lazima
Quinine , pamoja na ubishi wake, akubali kuna maendeleo (bila kusahau kuwa Magu kiboko ya njia) therefore maendeleo ni infrastructure.
Mtu akitoka ulaya haangalii kama kuna mikutano au Lissu kapigwa shaba au Kabendera yupo ndani au Mbowe ananyimwa kibali cha kuhutubia; anaangalia infrastructure then anaconclude kuwa hii nchi aidha imeendelea au la.