KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,174
Mbona wewe unaleta 'maneno ya 'kisiasa siasa'?Acha maneno ya kisiasa siasa..
Mbona wewe unaleta 'maneno ya 'kisiasa siasa'?Acha maneno ya kisiasa siasa..
Wenyeji.Umeskia wap?? #Source plz
Unataka akuoe wewe? Ni wivu tu!Zitto yupo dar anaangalia pornography na kuoa wajane hovyo huku akiendeleza ujinga wake wa kuihujumu serikali
Aje kufanya nini? Kwani yeye mkuu wa mkoa???Zitto huwezi kumuona hapa
Uko sahihiMuongo wewe hiyo barabara ya kasulu - Kibondo- kakonko ni vumbi tupu na sidhani kama itawekwa lami.. Maana ile lami ya kuanzia nyakanaz kuja kibondo imeanza kupigwa lami kuanzia mwaka 2012 ila mpaka sasa haijafika hata kakonko ... Sasa sijui unazungumzia kigoma IPI..
Kigoma iliyoendelea ni Kigoma Municipality tu kasulu na kibondo bado wako kwenye medieval era .. Naongea kwasababu nimeishi maeneo yote ya Kigoma ... Halafu hiyo kasulu na kibondo ndio kuna mawaziri kama Ndalichako, waziri mpango , naibu waziri wa habari .. Kigoma mjini haijawahi kutoa waziri lakini ina maendeleo kushinda huko kibondo na kasulu .. Wameanza kutoa mawaziri miaka na miaka ... Kibondo na kasulu wamejaa wajinga sana sijui kama wataendelea wale ...
Unapoitaja Kigoma uwe specific kabisa kuwa kuna Kigoma mjini na hizo takataka zingine
CCM ndiyo shetaniNani aliifunga kigoma??
Huo ndio ukweli mtupuWatu mna maneno!
Hata ulaya walipokuwa wanajijenga walifunga mkanda! Tatizo lako unaangalia leo tu. Wakati ukijenga familia mfano nyumba, lazima familia chamoto ikipate. Huwezi ukala raha wakati unajenga nyumba mfano. Kwa nchi ukitaka iendelee, kuna sekta zitakosa pesa mfano huwezi kujenga miundombinu ukapandisha mishahara. Unanisikitisha kwani inaonesha bado hujakomaaUnachosangaza unasahau hata Malaysia walikuwa kama sisi bado huoni tatizo, nakusikitikia sana, ukikua utajifunza kama tayari ni mtu mzima pole muda umeshakupita hutaelewa tena.
Achana na Ulaya ambao walianza zamani, nimekupa mfano wa Malaysia tuliokuwa level moja miaka ya 80 wao waliwezaje.Hata ulaya walipokuwa wanajijenga walifunga mkanda! Tatizo lako unaangalia leo tu. Wakati ukijenga familia mfano nyumba, lazima familia chamoto ikipate. Huwezi ukala raha wakati unajenga nyumba mfano. Kwa nchi ukitaka iendelee, kuna sekta zitakosa pesa mfano huwezi kujenga miundombinu ukapandisha mishahara. Unanisikitisha kwani inaonesha bado hujakomaa
Walifunga mkandaAchana na Ulaya ambao walianza zamani, nimekupa mfano wa Malaysia tuliokuwa level moja miaka ya 80 wao waliwezaje.
kwani Haya unayoyajibu we ni serikali? Kwa hiyo serikali haijui kama hicho kidogo kidogo ni kupiga marktime tu huku pesa inapotea?Fedha inayotolewa ni kidogo sana,serikali hainaga utaratibu wa kutoa pesa yote kwa pamoja kwa miradi mikubwa badala yake huwa inatolewa kila mwaka hadi project inaisha labda iwe mkopo ndio pesa inaweza kuwa yote ipo
Hayo ya tender waulize Tanroads na wizara
Mkuu degree gani hio inaitwa ENGINEERING IN HUMAN RESOURCES??????? wabongo kweliAcheni ubishi sasa. Kuna Muha mmoja yuko busy hapa jirani anasema UDSM iko Dodoma na yeye AME graduate huko degree ya engineering in human resources
Hapo umenena tena kisomi kabisaPotential ya kigoma ni kubwa mno, shinda ni hali ya mazingira katika uwekezaji wa kigeni(FDI) kaa tz tungekuwa na sheria rafiki za uwekezaji ka za rwanda au ethiopia, kigoma baada ya miaka 5-7 hivi, ingekuwa mbele sana, haswa katika uwekezaji wa LOGISTICS, and AGRICULTURE(fishing, coffee,palm oil, rice and maize)
Kuna wakati huwa nawaza na kufikiria nyuma kidogo naanza kufurahi. Miaka ishirini iliyopita Kigoma ilikuwa kama si sehemu ya Tanzania.
Umeme ulikuwa makao makuu tu ya mkoa yaani Kigoma Ujiji. Tena ukiwaka mara mbili tu kwa wiki.
Nilikuwa najua ratiba ya umeme kuwaka kuanzia Gungu, Masanga, SIDO, Mwanga sokoni,Kibilizi, Katubuka, Mlole,Majengo na Kilimahewa. Waliokuwa na uhakika wa umeme ni mjini kati na Mji mwema kwakuwa kule waliishi wanene.
Kutoka Kigoma kwenda Kasulu na Kibondo ilikuwa ni Safari ya kutwa nzima na mabasi yetu ya Adventure na Saratoga za wakati ule.
Kutoka Kigoma kwenda Manyovu na Muyama hakukuwa na mabasi bali magari ya mizigo tena ya kuvizia.
Kasulu pamoja na kuwa Mji mkubwa zilitawala kalabai, chemli na vibatali tu,huku Kibondo ikiwa kama mji wa kale wa enzi za ustaarabu wa Kichina yaani China Dynasty.
Hakuna aliyepangiwa kufanya kazi Kigoma aliyekubali kirahisi.
Sasa Kigoma imenza kuwa sehemu nzuri sana kwa kuishi. Barabara ya kuiunganisha na Tabora itakamilika muda si mwingi.
Hata ile ya kuiunganisha na Nyakanazi inaenda vizuri nimepita pale mpakani na mkoa wa Kagera daraja kubwa linajengwa na litaisha muda si mwingi.
Nimeona umeme ukiwaka kuanzia Kakonko, Kibondo yote,Kasulu na vijiji vyake,Heru juu,Kabanga, Muganza, Mwanga,Kasumo,Kalege, Muyama,Biharu,Nyamgali,Buhigwe,Muhaluro,Mnanila na kwingineko.
Mgao haupo tena,
Siku hizi hatusubirii tiketi za kulangua za train maana mabasi tele ya kwenda DSM,Mwanza,Bukoba,Arusha,Tabora,Mpanda na Sumbawanga.
Siku hizi kwenda Kasulu na Kibondo ni muda wowote.
Nimeona maji vijijini yakimwagika mitaani, barabara za vijijini zimeboreshwa sana.
Tunaweza kuwa tunaenda taratibu lakini tunasonga mbele.
Japo bado mkoa wote wa Kigoma tunatumia umeme wa generator lakini unatosheleza mahitaji ya umeme.
Kuishi kwingi ni kuona mengi, kuna vitu vimetokea mazingira yetu sikutarajia kama vingetokea nikiwa bado niko hai.
Mwezi uliopita nimekuta viguzo vya kuonyesha mwisho wa barabara vikiwa nyuma ya choo chetu badala ya kusikitika kwani nyumba yetu yote imeangukia kwenye hofadhi ya barabara lakini nilicheka kwa furaha kwani inawezekana nikaona barabara nzuri sana ya lami ikipita kijijini kwetu
And this happens once in life time.
Mungu nijalie nione mengi zaidi ambayo sikuyategemea kutokea nikiwa bado hai.

Bro ita a place niko na desire kubbwa mno ya kuwekeza, lakini kinachonivuja moyo ni hii serikali, haielweki kabisa, mara kubadilisha sheria, mara kuteka na kutia hofu, mara hata wakuu wa mikoa na wilaya kuweka wawekezaji ndani sababu ya kodi ila hio sio kazi yao, hio ni kazi ya TRA, oohhh how i wish things can better in tz, kigoma inaweza kuwa logistics hub kubwa hasa, na pia mazao kaa palm oil, fish na maize hizo zinaweza kuzwa na kuuzwa huko haswa European union, tatizo ni sheria na utwala bayaHapo umenena tena kisomi kabisa