Kigoma yaanza kufunguka

Kigoma yaanza kufunguka

Kuna wakati huwa nawaza na kufikiria nyuma kidogo naanza kufurahi. Miaka ishirini iliyopita Kigoma ilikuwa kama si sehemu ya Tanzania.

Umeme ulikuwa makao makuu tu ya mkoa yaani Kigoma Ujiji. Tena ukiwaka mara mbili tu kwa wiki.

Nilikuwa najua ratiba ya umeme kuwaka kuanzia Gungu, Masanga, SIDO, Mwanga sokoni,Kibilizi, Katubuka, Mlole,Majengo na Kilimahewa. Waliokuwa na uhakika wa umeme ni mjini kati na Mji mwema kwakuwa kule waliishi wanene.

Kutoka Kigoma kwenda Kasulu na Kibondo ilikuwa ni Safari ya kutwa nzima na mabasi yetu ya Adventure na Saratoga za wakati ule.

Kutoka Kigoma kwenda Manyovu na Muyama hakukuwa na mabasi bali magari ya mizigo tena ya kuvizia.

Kasulu pamoja na kuwa Mji mkubwa zilitawala kalabai, chemli na vibatali tu,huku Kibondo ikiwa kama mji wa kale wa enzi za ustaarabu wa Kichina yaani China Dynasty.

Hakuna aliyepangiwa kufanya kazi Kigoma aliyekubali kirahisi.

Sasa Kigoma imenza kuwa sehemu nzuri sana kwa kuishi. Barabara ya kuiunganisha na Tabora itakamilika muda si mwingi.

Hata ile ya kuiunganisha na Nyakanazi inaenda vizuri nimepita pale mpakani na mkoa wa Kagera daraja kubwa linajengwa na litaisha muda si mwingi.

Nimeona umeme ukiwaka kuanzia Kakonko, Kibondo yote,Kasulu na vijiji vyake,Heru juu,Kabanga, Muganza, Mwanga,Kasumo,Kalege, Muyama,Biharu,Nyamgali,Buhigwe,Muhaluro,Mnanila na kwingineko.

Mgao haupo tena,
Siku hizi hatusubirii tiketi za kulangua za train maana mabasi tele ya kwenda DSM,Mwanza,Bukoba,Arusha,Tabora,Mpanda na Sumbawanga.

Siku hizi kwenda Kasulu na Kibondo ni muda wowote.

Nimeona maji vijijini yakimwagika mitaani, barabara za vijijini zimeboreshwa sana.
Tunaweza kuwa tunaenda taratibu lakini tunasonga mbele.

Japo bado mkoa wote wa Kigoma tunatumia umeme wa generator lakini unatosheleza mahitaji ya umeme.

Kuishi kwingi ni kuona mengi, kuna vitu vimetokea mazingira yetu sikutarajia kama vingetokea nikiwa bado niko hai.

Mwezi uliopita nimekuta viguzo vya kuonyesha mwisho wa barabara vikiwa nyuma ya choo chetu badala ya kusikitika kwani nyumba yetu yote imeangukia kwenye hofadhi ya barabara lakini nilicheka kwa furaha kwani inawezekana nikaona barabara nzuri sana ya lami ikipita kijijini kwetu

And this happens once in life time.
Mungu nijalie nione mengi zaidi ambayo sikuyategemea kutokea nikiwa bado hai.
Mimi nimetoka huko juzi,kwa kweli kuna mabadiliko makubwa sana yanaendelea kutokea kwa mkoa wa KIgoma soon barabara zote zitakuwa za lami.Kuanzia Nyakanazi mpka Kasulu na Manyovu pia.Kuna wakandarasi wameshapewa kazi kuanzia Kabingo(Kakonko) mpaka Kasulu mapka ma Manyovu itakuwa lami.Bado naona Miradi ya REA ilivyofungua mkoa.Na ni mkoa uliobarikiwa kuwa na ardhi yenye rutuba sana na ambayo bado kuktumika.
 
Kuna zaidi ya tunavyojua juu ya kigoma..labda nijaribu ku decode. ..kigoma kwa kiasi kikubwa ni ya waha tofauti na mikoa mingine yenye makabila yanayokinzana..lugha ya kiha pia tamaduni inashabihiana sana rwanda na burundi..kwa miaka 10 Uha ilitaliwa na belgium wakati kwingine ilikuwa ni English...bilashaka kuna shida ya kuaminika..mfano mpaka wa namanga na Silari hata wa tunduma sidhani kama ni fortified kama ziwan tanganyika..manyovu through to mabamba..
Elimu ilifika 50 years baadae..yumkini kumekuwa hakuna wawakilishi makini serikalini.
Element za SILABU bado zimo katika maamuzi yakiutawala bilashaka.
Kwa mtazamo huu nafikiri maendeleo ya mkoa wa kigoma yana safari ndefu.
 
Zitto yupo dar anaangalia pornography na kuoa wajane hovyo huku akiendeleza ujinga wake wa kuihujumu serikali
Kuna wakati huwa nawaza na kufikiria nyuma kidogo naanza kufurahi. Miaka ishirini iliyopita Kigoma ilikuwa kama si sehemu ya Tanzania.

Umeme ulikuwa makao makuu tu ya mkoa yaani Kigoma Ujiji. Tena ukiwaka mara mbili tu kwa wiki.

Nilikuwa najua ratiba ya umeme kuwaka kuanzia Gungu, Masanga, SIDO, Mwanga sokoni,Kibilizi, Katubuka, Mlole,Majengo na Kilimahewa. Waliokuwa na uhakika wa umeme ni mjini kati na Mji mwema kwakuwa kule waliishi wanene.

Kutoka Kigoma kwenda Kasulu na Kibondo ilikuwa ni Safari ya kutwa nzima na mabasi yetu ya Adventure na Saratoga za wakati ule.

Kutoka Kigoma kwenda Manyovu na Muyama hakukuwa na mabasi bali magari ya mizigo tena ya kuvizia.

Kasulu pamoja na kuwa Mji mkubwa zilitawala kalabai, chemli na vibatali tu,huku Kibondo ikiwa kama mji wa kale wa enzi za ustaarabu wa Kichina yaani China Dynasty.

Hakuna aliyepangiwa kufanya kazi Kigoma aliyekubali kirahisi.

Sasa Kigoma imenza kuwa sehemu nzuri sana kwa kuishi. Barabara ya kuiunganisha na Tabora itakamilika muda si mwingi.

Hata ile ya kuiunganisha na Nyakanazi inaenda vizuri nimepita pale mpakani na mkoa wa Kagera daraja kubwa linajengwa na litaisha muda si mwingi.

Nimeona umeme ukiwaka kuanzia Kakonko, Kibondo yote,Kasulu na vijiji vyake,Heru juu,Kabanga, Muganza, Mwanga,Kasumo,Kalege, Muyama,Biharu,Nyamgali,Buhigwe,Muhaluro,Mnanila na kwingineko.

Mgao haupo tena,
Siku hizi hatusubirii tiketi za kulangua za train maana mabasi tele ya kwenda DSM,Mwanza,Bukoba,Arusha,Tabora,Mpanda na Sumbawanga.

Siku hizi kwenda Kasulu na Kibondo ni muda wowote.

Nimeona maji vijijini yakimwagika mitaani, barabara za vijijini zimeboreshwa sana.
Tunaweza kuwa tunaenda taratibu lakini tunasonga mbele.

Japo bado mkoa wote wa Kigoma tunatumia umeme wa generator lakini unatosheleza mahitaji ya umeme.

Kuishi kwingi ni kuona mengi, kuna vitu vimetokea mazingira yetu sikutarajia kama vingetokea nikiwa bado niko hai.

Mwezi uliopita nimekuta viguzo vya kuonyesha mwisho wa barabara vikiwa nyuma ya choo chetu badala ya kusikitika kwani nyumba yetu yote imeangukia kwenye hofadhi ya barabara lakini nilicheka kwa furaha kwani inawezekana nikaona barabara nzuri sana ya lami ikipita kijijini kwetu

And this happens once in life time.
Mungu nijalie nione mengi zaidi ambayo sikuyategemea kutokea nikiwa bado hai.
 
Amepinda utashi, ubishi kwao ni jadi
 
Wilaya ya Uvinza maneo ya Lugufu, Kazurumimba, kaza roho, malagarasi, mpeta, maganza, ulagala, nguruka na itebula nk hazina umeme maji safi na salama wakati vimezungukwa na mito mikubwa kama Malagarasi Luchugu
 
Sasa Kigoma imenza kuwa sehemu nzuri sana kwa kuishi. Barabara ya kuiunganisha na Tabora itakamilika muda si mwingi TANGU ENZI ZA KIKWETE WANACHIMBUA CHIMBUA TU HIYO BARABARA HAIKAMILIKI UCHAGUZI UKIPITA NAO WANAPOTEZEA.

GRID YA TAIFA IMESHAFIKA HUKO? INASIKITISHA KUONA MKOA HUO BADO UNATUMIA UMEME WA KUFUKIWA SIJUI NA MASHINE GANI HUKO.
Hawa jamaa wa awamu hii hawako siriaz wanajivuta vuta kuhusu Kigoma yaani so far hakuna barabara ya lami inayounganisha Kigoma na mkoa mwingine licha ya awamu iliyopita kujenga daraja la malagarasi,barabara ya kgm kidahwe na kigoma Manyovu hawa wa saizi webakia porojo
Hata hivyo juzi walipata mkopo wa kujenga road kutoka kabingo/Kakonko kasulu Manyovu na pia wako mbioni kufikisha umeme wa grid mwaka huu,japo mipango sio matumizi
 
Back
Top Bottom