Kigoma mjini, wapi pa kuosha macho wakuu

Sizani kigoma kuna sehemu ya kuitwa mjini.........anyway nenda pale bulombola
Hujawahi kufika kigoma mkuu au waliokupeleka walikushushia bulombola ukaambiwa ndio kigoma yote hiyo. Kwa kifupi kigoma mjini ndio kuzuri ila huko kwingine kasuru,kibondo nk ni kubaya na unafika umelowa vumbi
Nimeishi kigoma miaka kama 4, ni kuzuri hasa hizo sehemu za beach ukienda ka jioni fulani hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam
 
Nimeingia kwa huu uzi kutqfuta comment za aina hii😂

tapatalk_1534850520113.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom