Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 864
Habari ndio hiyo.
Huyu mama nilifanyiaga field pale wizara ya afya Dar wakati huo akiwa Katibu mkuu, alikuwa mkali kinoma.
Lakini hebu nasi tuwe fair. Atakapolipa hizo kodi zinazotakiwa kwa ajili ya hili gari, yaani: Sh24 milioni kama kodi ya uagizaji (Import duty), Sh23.7 milioni kama VAT na Sh12 milioni ambazo ni kodi ya ushuru wa forodha, pamoja na hiyo bei aliyonunulia ya milioni 6 atakuwa amelipa jumla ya sh milioni 65.7. Kwa hiyo mwandishi naye kakurupuka. Si kweli ati gari ya milioni 155 imeuzwa milioni 6, huyu mama atailipia jumla ya milioni 65.7. Ndio maana Mzee Mkapa alikuwa anawaita waandishi wa aina hii 'mbumbumbu'.
Habari ndio hiyo.
Headache always....
Kama wakitumia depreciation rate ya viongozi wetu 20% ingetakiwa kuuzwa kwa mil 38.4 kama hakuna factor zingine kama
ajali na uchakavu mwingine , lakini wakati mwingine kuna vitu vingine vinaweza kutumika ambavyo kwa viongozi wakuu wanaweza
kuangalia kwa mfano gari za kiongozi kama rais wanafactor za usalama wakijumuisha pale unakuta thamani ya gari(book value)
baada ya miaka 3 ni zero yaani ni karibu linear depreciation ya 30% on cost hapa hawadili na kodi wanadili na machine cost
kwa ujumla kunaitajika taharifa zingine kujua katika account ya gari inathamani gani kwani ata akienda auditor kuna taarifa
zingine itatakiwa kupewa, lakini pia kuna namna ya uuzaji wa bidhaa za serikali kwa mfano inawezekana walitangaza mnada
ambapo kila mtu atatakiwa kuandika ni kiasi gani atatoa kununua gari hili hivyo basi bei ya kuliuza itategemea highest bid price
hii ndio bongo tz
Sawa nakubaliana na wewe 100% but je depreciation gani imetumika kwa gari la mkuu wa mkoa? na je vigezo gani vya ziada vinahitakija kuraise hiyo depreciation. Na unapozungumzia bidding na process inatakiwa iwe imetangazwa kwa jamii ili kuruhusu ushindani wa kibiashara but sivyo katika serikali zetu mambo yanafanywa kimya maranyengine hata list ya magari haionekani ili gari liuzwe kwa bei chee
Kuna wakati ambapo mashine za serikali au magari yanauzwa na kipaombele kinakuwa kwa wafanyakazi
wa wizara au taasisi husika (auctional within organization) hii inaweza kufanyika mahususi ili kujenge hari
kwa wafanyakazi husika. na kuhusu factor zinazoweza kuchangia kubadili rate ya depreciation ni matumizi ya
gari au umbali wa kilomita inazokimbia ndio maana kuna nchi au taasisi wanatumia kigezo cha kilometa za gari
inazotumia, kwa mfano kuna taasisi ambazo gari ikifika KM 90,000 wanahesabu kwamba ni zero book value
ata kama imenunuliwa ndani ya mwaka huo, kwa hiyo basi kabla ya kulaumu tungeomba wahusika
watupe pia vitu muhimu kama kilomita ilizokimbia na size ya ingine yake ili nasi tufikilie na tutumie katika
kuchangia tusije tukakurupuka kama watu tusio na sababu ya kumshambulia mtu bali tukafanya kwa chuki tuu.

Mnaweza kuongea mpaka maneno yakaisha, mwisho wa siku tunasema huo ni ubadhirifu kama ubadhirifu mwingine tuliozoea kuona ukitendeka ndani ya serekali yetu.Naunga mkono wafadhili kupunguza misaada kwasababu moja kubwa haimsaidii mtanzania wa kawaida hasa mkulima anaeteseka kwa jembe la mkono.
Kuna wakati ambapo mashine za serikali au magari yanauzwa na kipaombele kinakuwa kwa wafanyakazi
wa wizara au taasisi husika (auctional within organization) hii inaweza kufanyika mahususi ili kujenge hari
kwa wafanyakazi husika.
Price
Back to Range Rover homepage
Explore
Accessories
Photos & Videos
On the road price - Includes Government Road Fund Licence for 12 months and Government Vehicle First Registration Fee, and cost of offsetting CO2 for the first 45,000 miles driven.
Models List price (£) CO2 Offset (£) VAT (£) On the road price (£) TDV8 Vogue 55,719.58 140 9,775.43 66,640.00 TDV8 Vogue SE 61,200.43 140 10,734.57 73,080.00 TDV8 Autobiography 65,285.53 140 11,449.47 77,880.00 5.0 V8 Supercharged Autobiography 68,996.70 165 12,103.30 82,270.00 Prices applicable from 1st April 2010.
hio ni landrover.com
kuna minada inayoweka kipaombele kwa kikundi fulani kwa mfano serikali inapotaka kuuza mali zake mfano nyumbaYou must be joking!
Na taratibu za uuzaji wa mali za serikali zinasemaje?
Je hatusikii juu ya CAG( Comptroller and Auditor General) anavyolalamika juu ya WIZI wa mali ya umma?
Kama ni shirika binafsi hapo tunakubaliana lakini kama mali hizi zimenunuliwa na KODI za wakulima na wafanyakazi then hizi ni mbinu za kuhalalisha WIZI kama ule wa nyumba za serikali.
Zaidi ya hapo wafanyakazi wa serikali/mashirika ya umma nani asiyefahamu utendaji wao?They pretend to be working and the Govt is pretending to pay them.
Iwe mwanasiasa au mfanyakazi yeyote . kufanya kazi kwa masaa sita kwa siku ni kitu ambacho hakifanyiki.Ukiogeza wizi huu wa mali ya umma then you can see that hawa watu 450,000 nchini are holding the rest of us at ransom.
Ebu angalia hizo bei zake kwenye hii link hayo ni kama mapya tu halafu temembelea dealers utakuta hizo bei zako ni za autograph tu
Used LAND ROVER RANGE ROVER SPORT Car for Sale - Auto Trader UK
Na ukitaka ya mpaka £25000 yapo ambayo bongo ushuru wake ndio inawazuia wengi kuyapeleka hila si big deal swala ni kwamba hatauza shillingi ngapi haraka haraka hili ageuze, mara nyingi nyumbani watu huendesha haya magari ya kifahari almost twice bei za ulaya that is just ridiculous.
PS. Kumradhi wakuu kwa asubuhi.
tazama vizuri wengi hapo ni dealers si wauzaji binafsi, na mengine ni mpya kabisa angalia mileage zilizoenda zingine.mkuu asante sana.
lakini serikali hainunuia gari used.
na bei niliyokutajia siyo ya used car ni ya brand new.
pia autotrader ndio option yangu ya mwisho kununua used car.
nb:tunazungumzia gari ya serikali sio ya mtu/ndugu/rafiki aliyekutuma gari used.