Filamu nzuri, imeakisi maisha halisi ya uswahilini, wahusika wamevaa uhalisia hasa.
Hao wanaoponda waezaliwa posta na kukulia America....hahahaaaaa kantangazeeeeee!
Njoo chukue kwangu.
Kuna kichwa hicho kinaitwa Mama Sikujua ni nomaaa. Ila Hemedi na Kajala wametuangusha yaani wameshindwa kureflect maisha ya uswazi. Otherwise sina utaalamu wa video sijui kama iko poa au vipi lakini in short hutokaa uboreke ukiwa unaangalia.
waliokulia ushuani na america/europe hawapondi vitu vya kiswahili kwasababu walivimiss utotoni.....wanaoponda ndiko walikotoka huko walikuwa hawana jinsi ya kukimbia!
nitaitafuta hio movie huwa nainjoi vituko.
Yaani mtu mzima na akili zako pengine msomi kiasi ufundishwe maisha kwa utakayoyaona kwenye bongo movie?
Nani kwanza wa kukupa hayo mafunzo
Iren Uwoya?
Rose Ndauka?
Johari? Ray? Mainda? Lulu? Tuache masikhara tusichukululie maisha kua ni simple kiasi hicho.
kidogo hemed kajitahidi kuliko kajala, yaani pale sehemu ya kajala angewekwa aunt angevaa uhusika zaidi, mi nilicheka sana pale mume wa kajala alipompa kipondo ndani kajala akakimbia sasa yale maneno ya mume wake mi hoi
...hahahaaa Who Cares? ...
Binafsi sio mpenzi wa filamu za kiswahili hasa kutoka Bongo movie,Nimebahatika kuitaza filamu hii ya kigodoro-kantangaze na kunifanya niamini ni moja kati ya filamu bora kabisa za kitanzania kuwai kutenegenzwa,ni filamu ya ki Tanzania iliyoongozwa na mwanadada Zamaradi Mketema,ikiwa ina akisi maudhui halisi kabisa ya maisha ya watanzania wengi maskini wanaoishi uswahilini,Kwa wewe uliyefanikiwa kuiona filamu hii unaizungumziaje?
Muhogo mchungu = BahariaYote tisa kumi muhogo alipomtapeli yule jamaa na kumtia Tanzania jeki mpaka kwake na mkewe akamplipia. Unaona wazi dume likiwa halina kitu mwanamke anafanya anavotaka .hata mtoto naye anakuwa poa kamlainisha baba ake buku tano halaf
anamwambia baba mi nna mimba na sijui ya nani hahahaa kazi kwelikweli
hii movie siichoki
ni movie bora kabisa yani..[/QUOT
waigizaji wote wakali,hamna muuza sura pale.