Chizi Maarifa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 13,625 Reaction score 29,891 Jan 3, 2026 #1 Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
Magomeni one JF-Expert Member Joined Jul 4, 2025 Posts 1,124 Reaction score 2,609 Jan 3, 2026 #2 Ukishakuwa akili kubwa ccm unakuwa adui mkubwa lazima tu utolewe nje ya mfumo.
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 18,193 Reaction score 34,270 Jan 3, 2026 #3 Kama hivi