East African Boy
Member
- Nov 15, 2018
- 21
- 20
Ni hela za madini toka Congo hizo! Hao maaskari wao wanavuna madini congo kama vichaa na mkicheza hata huku Bongo land watatuingilia sana kama hawapo tayari kuchukua rasilimali zetu.Wana sera kama za waisraeli.Popote ulipo iba unavyoweza ili kusaidia nchi yakoHii nchi ina rasilimali gani
Swali interesting.Hii nchi ina rasilimali gani
They are doing their best with limited Resources.Hii nchi ina rasilimali gani
Ni hela za madini toka Congo hizo! Hao maaskari wao wanavuna madini congo kama vichaa na mkicheza hata huku Bongo land watatuingilia sana kama hawapo tayari kuchukua rasilimali zetu.Wana sera kama za waisraeli.Popote ulipo iba unavyoweza ili kusaidia nchi yako
Swali zuri sana.Sasa kwanini wacongo wenyewe wasitumie madini yao yawaletee maendeleo yao tangu enzi za kina Lumumba, Mobutu, Kabila Snr/Jr.
DefinetelySwali zuri sana.
Sasa kwanini wacongo wenyewe wasitumie madini yao yawaletee maendeleo yao tangu enzi za kina Lumumba,Mobutu,Kabila Snr/Jr.
wakati wa mobutu aliyatumia hayo madini kukuza uchumi wa zaire kwa mfano 1 zaire (shilling) ilikuwa sawa na 1usd kwenye miaka ya 70-80
pia naye hakujisahau alipooa nchi ilimzawadia madini kama vile almasi nk kama dhwadi kwa bwana harusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hawa jamaa ni wabantu?Ni hela za madini toka Congo hizo! Hao maaskari wao wanavuna madini congo kama vichaa na mkicheza hata huku Bongo land watatuingilia sana kama hawapo tayari kuchukua rasilimali zetu.Wana sera kama za waisraeli.Popote ulipo iba unavyoweza ili kusaidia nchi yako
Rwanda has started door to door distribution of food, while they stay at home during the Coronavirus outbreak View attachment 1403159View attachment 1403161View attachment 1403163
Usafi wa kila Jumamosi ya mwisho mwezi tumeiga Rwanda. Kwamfano Dar, serikali ikaamua barabara zote ziwe za kiwango cha lami, kuondoa gereji, biashara zote na wamachinga wote sehemu amabazo sio za biashara na barabarani, wahusika wakishirikiana na Tanesko, Jiji na TANROAD wakapanda maua na miti rafiki pembezoni mwa barabara, Usafi ukafanyika kila siku. Dar itapendeza.
Usafi ukifanywa na mmlaka zinazohusika na ukawekwa utaratibu mzuri na unaoeleweka wa adhabu tutafanikiwa sana. Kiasi kwamba raia hawatasubiri kila J'mosi ya mwisho wa mwezi. Tatizo kuna mikwara ya kisiasa mingi, na sifa kwa watawala kana kwamba wao ndio wanafanya usafi.Shida yetu ni siasa nyingi mkuu,tukianza huo utaratibu wa usafi kila j’mosi kua ni lazima na usipofuata sheria hio hatua kali zitachukuliwa then wataanza kuibuka wanasiasa huku UVCCM itasema hivi then kesho Bavicha wataibuka kusema vile,keshokutwa watu wa haki za binadamu wataitisha press ili mradi iwe vurugu vurugu tu.