4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,604
- 13,530
Lugha unayotumia ndo shida, tunapambana na vyombo vya dola kwani hii ni vita ? au kinachofanywa hakipo kisheria,? na Kama kipo kisheria na sio vita why mtu afe mikononi vyombo ambavyo vipo kisheria , ili kusimamia sheria? Ili Hali vinavunja sheriaMn
Mnapokua kwenye majukwaa mnasema hamuogopi kitu sasa mnapotunzwa korokoroni mnaanza kuogopa mara chakula hakuna uhakika mara familia,
Kama mnataka raha ya kuonana na ndugu au familia zenu, kwa nini mnataka kupambana?
Mkitaka chakula cha nyumbani a usalama wake kaeni nyumbani acheni kutunisha misuri.
Faida ya mapambano ni kupata matokeo hai au hasi na
Kuna kufa au kupona hivyo mnatakiwa kuacha kulialia ila tafuteni suruhu ya matatizo yenu kwanza wapi mnakosea au mnaonewa.
Kufa kwenye mapambano ni sawa ,Sasa hao police si waseme adhalani kwamba wapo kwenye mapando ya democrasia na CHADEMA, ili tujue moja ,