Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 480
- 571
Juzi nilitoa post kushauri kwamba mbowe akishaachiliwa na hizo
mamlaka.
Ufanyike mpango, atafute hifadhi ya ukimbizi wa kisiasa ng'ambo.
Kwasabab kama hizi.nikasema usalama wake u shakani.
tusisubri matatzo yatokee.
Lema na lisu wamefanya hivyo.hawa si wajinga.
Wote wamedai serikali iwahakikishie kwanza usalama wao ndio watue nchini.
Ikiwa tunakubaliana nao kwa hoja wanazozitoa,kwanin mwenyekiti asishauriwe nae akapumzike usalamani.
Mapambano ni popote.
lema na lisu wote ni political refugees na wanatambulika hivyo kwny nchi zilizowapokea.
Kuwa ughaibuni hakujawafunga midomo, wanaendesha harakati wakitokea leuven na ottawa