Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,425
- 100,692
Wekeni maneno ya akiba! Mtapatwa na matatizo NITASHANGILIA na NITAWACHEKA kwa kiwango hiki hiki cha dhihakaLabda alikuwa na njaa mpaka akili nazo zilimruka.
Wekeni maneno ya akiba! Mtapatwa na matatizo NITASHANGILIA na NITAWACHEKA kwa kiwango hiki hiki cha dhihakaLabda alikuwa na njaa mpaka akili nazo zilimruka.
Kipenzi cha watu gani?Yaani toka amtukane marehemu raisi kipenzi cha watu huyu Mbowe nshamtoa moyoni kabisa wacha apambane na hali yake wamfanye chochote tu yaani
Maslahi mapana ya nchi yako salama chini ya CCM bila kujali nani anatawala kipindi hicho ili mradi anatoka CCM. Kuhusu kula sahani moja, you're welcome!Hicho tu! Hamuanggalii maslahi ya nchi mnaangalia chama chenu! This time around tutakula sahani moja
Maslahi ya majizi? Maslahi ya nchi gani? 60yrs hakuna la maana mmefanya! NARUDIA labda NIFE ila kama mtapata MSIBA nitawajibu kwa dhihaka tena twice then nisikie mnalalamikaMaslahi mapana ya nchi yako salama chini ya CCM bila kujali nani anatawala kipindi hicho ili mradi anatoka CCM. Kuhusu kula sahani moja, you're welcome!
ISAYA 54:17 SUV"Mwenyekiti amekula chakula ambacho hajui nani amekileta. Kwa mujibu wa sheria za Polisi na Magereza kama mtu ameletwa chakula lazima aliyeleta aonekane na aonje mbele ya Polisi na mbele ya mtu aliyeletewa, kuwa kipo salama. Wamezuia ndugu, anayeonja chakula ni nani?" - Benson Kigaila
Mtajua wenyewe na gaidi lenuKipenzi cha watu gani?
Ni Mama yako mzazi au?Hata kama simuungi mkono Mama, lakini akigombea kupitia chama changu CCM, nitahakikisha anashinda ili CCM iendelee kutawala Tanzania.
Hata kama simuungi mkono Mama, lakini akigombea kupitia chama changu CCM, nitahakikisha anashinda ili CCM iendelee kutawala Tanzania.
Maslahi mapana ya nchi yako salama chini ya CCM bila kujali nani anatawala kipindi hicho ili mradi anatoka CCM. Kuhusu kula sahani moja, you're welcome!
Hakuna mtu mwenye maisha mazuri halafu akaibeza CCM. Ninyi chonka mbaya ndio mnafikiri mmesababishwa na CCM.Ni Mama yako mzazi au?
Ahaaa unamsaliti Mama yako choka mbaya ambaye maskini aliyetopea unamsifia Mama wa wenzako
Mpendezeshe Mama yako kwanza
Kama mwana CCM mtiifu na mpiga kura. Swali jingine?utahakikisha anashinda wewe kama nani
Hana cha kupoteza historia ameandika na ataondoka na heshima zote za kisiasa na kijeshi cjui wewe utajua hyo 2025?Samia atajua hajui 2025. Aendelee kuhangaika na Mbowe.
Wewe mbwa mshenz mkubwa uliyezaliwa na mwanamke malaya,endeleeni ukatili wenu kuna siku mtakuja kunya wote hadharani mpaka huyo mimacho wenuKitimoto hata kama haujui ni nani aliyeleta huwa tunakula tu, huo ni utaratibu dunia nzima