Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,913
- 2,790
Ndugu zangu WaTanzania, akili za watu wote duniani ni sawa kabisa. WaFrika, Wazungu, Waasia wote akili zao zipo sawa. Katika saikoloji kuna kitu kinaitwa "Mindset". Mindset ni muhimu sana kuweza ku-assess maisha ya group za watu, adaptation, group thinking etc.Quoting the one and Only Kiranga, let me open a window of debate and slugs! If not the statement sort of quantify Nyani/Julius Ndivyo tulivyo.
Be it in Social aspect, economy, political, cultural, production, education entrepreneurship, management, leadership ot whatever, we always fail if not falling short and one has to wonder, TUNA MATATIZO GANI?
Is it psychological issues, colonial wounds, inferiority complex or just our nature?
mazingira ya sasa hayampi ruhusa mtaalamu kufanya kazi kwa ufasaha na kwauhuru hata kidogo, Mfano mzuri kilamwezi mamilioni ya shilingi yanatumika kupeleka watu wenye matatizo ya moyo INDIA, ardhi na mbingu ya Tanzania ilishuhudia jinsi dr Masao wa Tanzania heart Institute alivyonyanyaswa na serekali wizara ya afya na NSSF, yeye ni mtu wa kwanza kufamya upasuaji wa moyo tanzania kama utaalamu wake ulukuwa unahitajika ni kwa nini hiyo serekali isingejiunga nae wakwa na taasisi kubwa ya moyo badala ya kuendelea na huo mradi wa kupeleka watu India?????
Wataalamu tupo na wengine tunauchungu na taifa letu tunataka tulitumikie lakini mazingira magumu, hatudhaminiwi,mchango wetu haupewi kipaumbele kila kukicha serekali na taasisi zake wanaabudu wataalau wanje ambao wengi ni bomu wewe unategemea nini?
Unless watawala wameamka usitegemee wataalamu wakitanzania watarudi huko,serekali ibadilike, ijifunze Rwanda, namibia, india na kwingineko wanawatumia vipi wataalamu wao then ndo ianze ushawishi wakuwaomba warudi nyumbani lasivyo mbona tutaendelea kubeba maboksi tu mradi utaalamu wako unaheshimiwa na unautumia bila kikwazo,unauhakika na huduma za jamii kama afya, usalama wako uwapo barabarani nk

Ni wakati gani mazingira yalimpa huru mtaalamu? na ni yepi?
Je ?Unafikiri Newton alipewa fedha za kufanya research?
Jiulize ni kwanini waalimu wa DIT wengi walikimbilia Kigali Institute?au kwa nini madaktari wanakimbilia nje? ndugu mazingira´ya kimbindi hicho na hiki ni tofauti kabisa, kumbuka njia walizotumia marekani kuendelea sio hizo wanazozitumia China au Japan, korea nk
Nchi kama nchi inatakiwa iwe na mipango yake itakayoifanya iendelea kutokana na rasilimali zilizopo,watu na hata location ya nchi, Umeshajiuliza nini sera ya viwanda kama mie naishi marakani nataka nije nifungue kiwanda cha kutengeneza dawa tanzania kama mzawa mazingira yakoje?hayo ni mambo yanayosaidia nchi kama china kuendelea kwa kasi, nawafahamu vijana hawajaenda hata shule walikuwa wanauza ngua kariakoo kwa kwenda kuzinunua china sasa hivi wameajiri wachina huko kwao wanatengeneza nguo,ni kwanini hawakufanya hivyo hapa tz?
Mushi,Wakuu Rev,MKJJ,FMES,Nyani nk.
Ukweli nimeshindwa nianzie wapi kwenye mjadala huu,hata hivyo nitaanza kwa kuwa msomaji,na nitatafuta pa kuanzia since Prodigal Son ana cha kuwaeleza kwanza.
Inaniwia vigumu sana kulaumu mwenekano wetu na kulink moja kwa moja na jinsi ambavyo jamii yetu iko,sijawahi kuona low self esteem ikimsaidia yeyote yule....Sijawahi kuona mtu mwenye kujidharau akipata maendeleo yoyote haijalishi ana elimu gani,eti kwanini tumefanana sana na kwahiyo solution ndivyo hivyo tulivyo?statement ambayo ni very broad na huwa mimi si fan wa statement hiyo hata chembe,mi si mfata mkumbo,naelewa tuna matatizo lakini kamwe sitoishusha heshma yangu ya uafrika kwasababu ya watu wachache,watu walioitawala Afrika ni wachache sana na wengi wao bado ni vibaraka,sasa hata hayo hatuangalii tunapiga soga kama kwenye togwa....?Mimi siamini kabisa kwamba wote tuko hivyo ama ndivyo tulivyo,hapo msimamo wangu hautayumba asilani.
Certainly kwasababu hatuwezi kusema wajerumani ndivyo walivyo kwasababu ya Hitler,same way with Bush and Americans.
Wakuu Rev,MKJJ,FMES,Nyani nk.

Hii ndio nini tena? Nyerere aliwahimiza watu wapanue mashamba. Badala ya kupanua mashamba kuna watu wakawa wanapanua masikio na midomo kama huyu jamaa. Lol
Mushi,
Wala usijidanganye. Mindset yako ipo katika group uliyo-adapt; labda tu utakuwa tofauti kama umejichanganya na culture nyingine au upo na elimu nyingine. Wewe huna tofauti na Kikwete au mimi kwenye priority zako; kwa group as large. Kama ni tofauti basi wengi tutakuona wewe umesha-deviate kwenye culture yetu. Akili na na mindset vichukulie tofatuti. Environment (surroundings) zimetofatisha mindset. Hata makabila kabla ya kuchanganyika tulikuwa tofauti mindset zetu; kwa hiyo, lazima ukubali ndiyo utatambua kuwa una matatizo. Kama hukubali basi ni huwezi kusolve matatizo yetu.
Hutuwezi kuishi na mindset tuliyo-nayo sasa hivi tukategemea maendeleo. Best planners, economists, scientists etc are those who sacrifice their time in hardwork, and researches. I cannot understand a Professor who has three wives doing his researches properly. Pale muhimbili nimewahi kuhudhuria pale kwenye baa ya interns, madaktari weng huenda pale kunywa kabla ya kufanya operation, na husifiwa kuwa wakinywa pombe ndiyo hufanya kazi vizuri.
WE are not serious. Our groups need a mix, or else education, which can help our mindset.
- Tunaweza sana ku-create haya yasiyoweza kutuendeleza, that is all!
Respect.
FMEs!