Nimeshakupa mfano wa waarabu wanavyouzana kwa wale wanaowekewa dau na mara nyingine hukamatwa ama kuuwawa,wengi tu wanaotafutwa na wamarekani wanauzwa na waarabu wenzao,usifananishe hayo,kwa wakati ule mwafrika alikuwa ndiyo the main comodity,sasa wewe sema ni bidhaa gani itakayomshinda mzungu anapoitaka?Mafuta yenyewe unaona ilivyo mshike mshike na mambo ya terrorism Bin Laden kichwa kina dau la dila milioni 50 kama sikosei,tumia ubongo mkuu.
Suala la kutawaliwa nimeshaweka wazi siyo Afrika peke yake,hata marekani nk,Alichosema Companero hapo juu somewhat kina ukweli,certainly mfumo walioutumia kutawala Afrika ni wa tofauti, na maeneo mengine,na kama alivyosema Companero,ugumu wa ku adapt pia inawezekana ulikuwepo na ndio maana unakuta kuna issue kama za dini ambazo zinachanganywa na issue za kugombea uhuru,na hivyo kwenye jamii nyingine maendeleo ya ki west yanakuwa ni kharam....Kwa hiyo ni wazi kuwa Afrika ilikuwa one heck of a battle field.
Yote hayo ni history,na kama alivyosema Companero,ni lazima kwanza tujue tunachotaka kabla ya kujiuliza namna ya kupata.
Jishughulishe kufikiri zaidi utaweza kuona ni where i am coming from kabla ya kusema nakulisha propaganda.
teh teh teh
Vipi wamerekani weusi? Nasikia wanachukia mipingo kama mimi hapa ni kweli? ana ni uongo tu wa watu