Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,876
- 2,744
Kwa hiyo title hapo juu, tatizo si visheni wala misheni wala sera. Hili la uongozi nina mashaka. Nitarudia kila leo kuwa tatizo ni kukosekana uwezo wa kujibainisha pamoja na dhamira hai. Haya yanazidi kutibuliwa na tatizo la ukosefu wa utekelezaji na kusimamia huo utekelezaji (implementation na maintenance)