Kifungua kinywa

Kifungua kinywa

usisahau kunipa feedback nataka nifanye monitoring......pengine hapo mbeleni tutafungua consulting firm/ herbal clinic

Hahahaha haya ngoja nianze kufanya mchakato na majibu usijali nitakupatia
 
Pole Faith ila hiyo picha inaonyesha uji na fenes ndio chai hiyo uji hauna sukari kwahiyo inapatikana kwenye uji nimeikuta Tanga hiyo life style

Umeniwahi kidogo yani hizo ndio ishu za wasambaa,
 
Duh!hadi mbegu?Haya bwana kama nakuona mwenyewe umevaa msuli then wala fenesi


Ndg.W8
hebu nijuze kuhusu mbegu zake ? maana mie huzitupa away... (mie hpata mafenesi kutoka indonesia!)

Haswaaa...ukizichemsha zawa tamu na ladha ya kile kiini cha kati baada ya kuzibanjua magandaye huwa kama kiazi kitamu kilichookwa
 
Haswaaa...ukizichemsha zawa tamu na ladha ya kile kiini cha kati baada ya kuzibanjua magandaye huwa kama kiazi kitamu kilichookwa
Mashkurr... mkuu ntafuata process hiyo bidhabti naona itakuwa kama lozi.....!?
 
Pole Faith ila hiyo picha inaonyesha uji na fenes ndio chai hiyo uji hauna sukari kwahiyo inapatikana kwenye uji nimeikuta Tanga hiyo life style

swadakta...
 
Kama kinakuwa kama kiazi kitamu basi inabidi niwe nachemsha mbegu zake maana kiazi napenda.Harufu yake bado inakuwepo?

Huwa yatoka...hata hivyo fenesi mbona halina harufu kihivyo
 
Umeniacha na bumbuwazi...lugha gongana
OOyaa!! W8 mkuu wewe ndo mwenyeji JF na handeni ndo alwatan sasa vipi juu !! kama 'um'uwazi basi funika bhana !! na kama na gongana basi ita Trafiki haraka!!

OK UASILIA WA LUGHA !!
Bidhabti ni exactly (madhubuti)
Mashkur ni thanx (shukran)
lozi ni almond (njugu)
 
Utomvu waukata kwa kupaka mikono mafuta ya kula...

Kama ushaona vile wamama wakatavyo utomvu wamenyavyo ndizi mbichi...
sasa adha zote hizo za nini? mafuta ya kula yenyewe yakiwa mabichi yanuka.
 
Back
Top Bottom