Kifungua kinywa

Kifungua kinywa

Pole Faith ila hiyo picha inaonyesha uji na fenes ndio chai hiyo uji hauna sukari kwahiyo inapatikana kwenye uji nimeikuta Tanga hiyo life style
 
Pole sana Mpwa, hilo tunda linaongeza ashki ila sio ashki majinuni.....hasa ukipata na uji wa dona, Kha! Kutwa nzima utaomba jioni iingie uombe mchezo

Serious mpwa?kumbe faida yake nzuri eeeh.Ngoja nitakuwa namuandalia mpwa wako ili nione jioni inakuaje😀
 
Back
Top Bottom