Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
- Thread starter
- #21
Mwizi ni mimi ninayerejea sheria ambazo sikuzitunga mimi au mwizi ni yule aliyezitunga kwa laana ya ulafi wake sasa anarudi kuvaa Joho la uzalendo na ana uchungu mkubwa na mali zinavyoporwa!Huyu aliyeleta hii posti eti naye ni mTZ???
Tuache ujuaji mwingi, ilimradi tu na wewe uonekane umeposti au una uelewa wa sheria.
Katika wizi mwingi unaotendeka, umeona hilo ndilo la maana saana??? Hata kama MAKOSA hayo yamefanywa na baadhi ya waTZ kwa makusudi mazima, lazima wameshawishiwa kufanya hivyo, na hili jambo halikuanza leo; rejea BOGUS TREATIES ya kina Carl Peters etc.
Sasa, baada ya kuungana kuondoa huu ujinga, mnajitokeza kama mazombie na kuleta ujuaji!!! Sikuwahi kudhani kuwa kutafuta KIKI kunaweza mvua nguo mtu hadharani kwa kiwango hiki.
Pengine mkae chini na kuanza kutafakari kama KUWA MPINZANI maana yake ndio hio!!!
Kama huu siyo usanii wa kisiasa sijui niuiteje!