Kifungu cha 9(3) cha sheria ya madini (2010) ni msumari wa moto!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
187,378
2,000
Labda tujiulize hivi kwanini kamati ya pili haikujiridhisha na kifungu cha 9(3) cha sheria ya madini ya mwaka 2010?

Kifungu tajwa kinamwondelea Mchimbaji wa madini aliyesajiliwa uhaja wa kusajili tena kampuni tanzu katika kufanya kazi za uchimbaji, usafirishaji wa madini.

Kwa lugha rafiki, baada ya African Barrick Gold Ltd kusajiliwa kuwa ni mmiliki wa North Mara Gold mine Ltd, Bulyanhulu Gold mine Ltd na Pangea Minerals Ltd ambapo migodi yote imesajiliwa hawakuwa na uhaja tena wa kusajili kampuni tanzu yake ya Acacia.

Sasa sijui walimeza maharagwe ya wapi hii kamati ya pili ya Makinikia kudai Acacia ilipaswa isajiliwe wakati sheria ya madini (2010), kifungu na. 9(3) kinawazuia wasisajili tena kampuni tanzu.

Screenshot_2017-06-14-12-15-46.png
Screenshot_2017-06-14-12-17-04.png
 
Didas Nbc

JF-Expert Member
Sep 21, 2014
470
500
Labda tujiulize hivi kwanini kamati ya pili haikujiridhisha na kifungu cha 9(3) cha sheria ya madini ya mwaka 2010?

Kifungu tajwa kinamwondelea Mchimbaji wa madini aliyesajiliwa uhaja wa kusajili tena kampuni tanzu katika kufanya kazi za uchimbaji, usafirishaji wa madini.

Kwa lugha rafiki, baada ya African Barrick Gold Ltd kusajiliwa kuwa ni mmiliki wa North Mara Gold mine Ltd, Bulyanhulu Gold mine Ltd na Pangea Minerals Ltd ambapo migodi yote imesajiliwa hawakuwa na uhaja tena wa kusajili kampuni tanzu yake ya Acacia.

Sasa sijui walimeza maharagwe ya wapi hii kamati ya pili ya Makinikia kudai Acacia ilipaswa isajiliwe wakati sheria ya madini (2010), kifungu na. 9(3) kinawazuia wasisajili tena kampuni tanzu.

View attachment 523736 View attachment 523737
Kwa lugha ya kitaalum tunasema pale tulikua tunatafuta kikism
 
YAHERI MUNGU

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
320
250
Labda tujiulize hivi kwanini kamati ya pili haikujiridhisha na kifungu cha 9(3) cha sheria ya madini ya mwaka 2010?

Kifungu tajwa kinamwondelea Mchimbaji wa madini aliyesajiliwa uhaja wa kusajili tena kampuni tanzu katika kufanya kazi za uchimbaji, usafirishaji wa madini.

Kwa lugha rafiki, baada ya African Barrick Gold Ltd kusajiliwa kuwa ni mmiliki wa North Mara Gold mine Ltd, Bulyanhulu Gold mine Ltd na Pangea Minerals Ltd ambapo migodi yote imesajiliwa hawakuwa na uhaja tena wa kusajili kampuni tanzu yake ya Acacia.

Sasa sijui walimeza maharagwe ya wapi hii kamati ya pili ya Makinikia kudai Acacia ilipaswa isajiliwe wakati sheria ya madini (2010), kifungu na. 9(3) kinawazuia wasisajili tena kampuni tanzu.

View attachment 523736 View attachment 523737
Kwani wewe hiyo Section 9, Subsection (2) umeisoma vizuri na kuielewa? Au ndiyo mihemko ya kisiasa uliyonayo tu?
 
Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
1,003
2,000
Huyu aliyeleta hii posti eti naye ni mTZ???

Tuache ujuaji mwingi, ilimradi tu na wewe uonekane umeposti au una uelewa wa sheria.

Katika wizi mwingi unaotendeka, umeona hilo ndilo la maana saana??? Hata kama MAKOSA hayo yamefanywa na baadhi ya waTZ kwa makusudi mazima, lazima wameshawishiwa kufanya hivyo, na hili jambo halikuanza leo; rejea BOGUS TREATIES ya kina Carl Peters etc.

Sasa, baada ya kuungana kuondoa huu ujinga, mnajitokeza kama mazombie na kuleta ujuaji!!! Sikuwahi kudhani kuwa kutafuta KIKI kunaweza mvua nguo mtu hadharani kwa kiwango hiki.

Pengine mkae chini na kuanza kutafakari kama KUWA MPINZANI maana yake ndio hio!!!
 
samora10

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
7,462

Huu ndio ujinga sasa, tunauondoaje kama hata kamati iliyosheheni maprofesa na PHD zao hawakuona hicho kifungu mpaka wameenda kusoma hadharani? Tuache ushabiki na mihemko tunatakiwa kuanzia pale ushauri wa Bashite(Zero )ulipoishia,Twende mbele sasa ili tuweze kumsaidia Mh Rais!
 
JOHNKEKE

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
983
1,000
Duh, watu wamejitoa akili ili kuendeleza ajenda ya "kukosoa". Yaani unakosoa kwa lengo la kukosoa tu, sababu huko upinzani.

Elewa tofauti ya leseni na usajiri. BRELA hawatoi leseni ya uchimbaji madini, ila wanasajiri kampuni. Kamati ilisema kampuni imeshindwa kuthibitisha usajiri wake kisheria.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom