Kifungo cha miaka 30 au Kudharirika..... USHAURI Tafadhari

Ni vizuri kujiwekea mipaka na watu.

Unaruhusu vipi watoto wakae kwako hadi saa 4 za usiku?
Halafu hiyo nyumba unayokaa ni chumba kimoja ama?

Hongera kwa kutokuwa mkali siku ukisingiziwa umebaka ndo utajua hujui
vyumba vipo vitatu na sebule.. kwa kuwa mie sipendi kukaa seblen naingia chumbani mara nyingi.. sasa watoto wananifuata huku huku.. nikiwafukuza hawataki.. basi nakaa nao tu

daah jela naiogopa aisee naomba sana niepushwe
 
Narudia tena kuwa na mipaka katika mazoea na watu hasa watoto na wake za watu.

vyumba vipo vitatu na sebule.. kwa kuwa mie sipendi kukaa seblen naingia chumbani mara nyingi.. sasa watoto wananifuata huku huku.. nikiwafukuza hawataki.. basi nakaa nao tu

daah jela naiogopa aisee naomba sana niepushwe
 
wakat unaongeza glass ya maji...jaribu kujiepusha nao, siku hiz watu hawaaminiki mkuu, hasa kwa ww ambae upo single...narudia tena acha mazoea na wake za watu ni SUMU, sio dhambi kupunguza mazoea na watu.
 
kweli... kuna mtu yaliwahi kumtokea mabaya.. akapoteza heshima.. sasa naona na kwangu yatatokea yaleyale
 
Back
Top Bottom