Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,459
- Thread starter
- #41
nataka nichukue baadhi ya ushauri humu huenda nikapata msaadaHahaha .... Ndugu ... Una nyota ya jela ... Sina la kuongeza
nataka nichukue baadhi ya ushauri humu huenda nikapata msaadaHahaha .... Ndugu ... Una nyota ya jela ... Sina la kuongeza
shukrani nitafanya hivyo...Cha kufanya hapa kaka,Badili Ratiba ya kuingia kwako,mda wa watoto bila shaka unaujua sasa wewe kwepesha tu kuepusha mengi fanya hivi japo kwa muda Fulani wiki au Mwez mazoea hapungue najua unawapenda watoto ni jambo zuri Fanya ivyooo Mr uepushe mengi
Haha we jamaaMbona page siion
Mkuu unamjibu jamaa anakuendeshanenda chini au juu hapo zen clik hiyo namba 1
Kwa nn mkuu zeusHaha we jamaa
Jela utaolewa mkuu kwa ukarimu wako huo. Jifanye tu kauzu wakigonga watimue shida zote mwisho getini.hahah bora JELA.
Naona mambo yako mkuu,kama kawaida yakoKwa nn mkuu zeus
Manbo yap mkuu ... Dah ... Mnanionea lkn jmnNaona mambo yako mkuu,kama kawaida yako
Mkuu wengi tunakujua mzee wa comedy plus kuzinguaManbo yap mkuu ... Dah ... Mnanionea lkn jmn
Kuzingua nini daah !!! Ngoja nfufue ile i.d yangu realy ...Mkuu wengi tunakujua mzee wa comedy plus kuzingua
Ipi hiyo mkuu??Kuzingua nini daah !!! Ngoja nfufue ile i.d yangu realy ...
Swalehe ... Dah ... Analia kinoma ... Antaka nimpe simu akoment ... Dah aisee ... Unajua koment zngne huwa sio zanguIpi hiyo mkuu??
Swalehe hajambo??