ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,493
Sawa[emoji4]lakini [emoji23]Ngoja sasa nisome kisha nimpe ushauri.
Sawa[emoji4]lakini [emoji23]Ngoja sasa nisome kisha nimpe ushauri.
Eti Babu Krismass ha ha ha ha he he be umenifanya nicheke 😀😀😀😀😀😀😀jamaa sijabahatika kuonana nae leo.. mke wake kasema jamaa amemuelewa so yameisha..
kuhusu kutoweka hapa .. mwezi wa 8 wote nilikuwa songea kikazi... nimerudi tar 10 mwez huu.. ndio kama nimechochea.. kila saa hodii tumekumithi.... mara oh.. zawadi.. wananiona kama BABU KRISMASS
hapana kwakuwa kila mtu anakaa katika nyumba kivyake.. kila mtu kati geti lake ni ngumu kuonana.. au kuja mara kwa mara..Waume zao hawajawahi kuja chumbani kwako?
usicheke ndugu.. nitaishia pabayaEti Babu Krismass ha ha ha ha he he be umenifanya nicheke 😀😀😀😀😀😀😀
relod pageMbona sion maandish
Mbona page siionrelod page
nenda chini au juu hapo zen clik hiyo namba 1Mbona page siion
Kwa batan inakataa mbona ... Hichi kinokia toch knasumbua sana ... Uspende kucheza gem na watt wa kike mkuu .mi nmetoka jela juzinenda chini au juu hapo zen clik hiyo namba 1
hahah watoto wa kike wanapenda KATUNI wanamakatuni yao nimewajazia katika mashine.. wakija nawatupia huko mie naendelea na shughuli zanguKwa batan inakataa mbona ... Hichi kinokia toch knasumbua sana ... Uspende kucheza gem na watt wa kike mkuu .mi nmetoka jela juzi
Sawa endelea kukatunika ... Nshakuonya lkn nadhan utaazma simu kwa afande kuleta mrejeshohahah watoto wa kike wanapenda KATUNI wanamakatuni yao nimewajazia katika mashine.. wakija nawatupia huko mie naendelea na shughuli zangu
pole mkuu jela sio pazuri
leo nimevikaushia kimya.. vimeita sanaaa..... maana vinajua nipo.. yaan vinaiita mpaka navionea huruma... alaf nje jua kali.. vinajibanza hapo hapo mlangoniSawa endelea kukatunika ... Nshakuonya lkn nadhan utaazma simu kwa afande kuleta mrejesho
Hahahah ila we jamaaleo nimevikaushia kimya.. vimeita sanaaa..... maana vinajua nipo.. yaana vinaiita mpaka navionea huruma... alaf nje jua kali.. vinajibanza hapo hapo mlangoni
Cha kufanya hapa kaka,Badili Ratiba ya kuingia kwako,mda wa watoto bila shaka unaujua sasa wewe kwepesha tu kuepusha mengi fanya hivi japo kwa muda Fulani wiki au Mwez mazoea hapungue najua unawapenda watoto ni jambo zuri Fanya ivyooo Mr uepushe mengiusicheke ndugu.. nitaishia pabaya
sio kwamba kwao hakuna katuni.. zipo za kutosha.. kuna mmoja alitoa kali ya mwaka..Hahahah ila we jamaa
27Una umri gani?
Hahaha .... Ndugu ... Una nyota ya jela ... Sina la kuongezasio kwamba kwao hakuna katuni.. zipo za kutosha.. kuna mmoja alitoa kali ya mwaka..
baada ya kugombezwa na baba yake akaja kwangu huku analia.. nikakabeba nikatoka nacho nje.. kuzunguka mitani.. ili kinyamaze.. kumbe wazee wake wanamtafuta huko na huku.. masaa kama matatu.. yalikatika ndipo tukarudi.. nikakapeleka kwao.. mzee wake.. akaja.. kavimba.. anataka kumpiga.. nikamuambia amuache.. nikamshusha chini aende kwa baba yake HATAKI.. mama yake akaja HATAKI.. dogo akalopoka "chikutakii wewe baba mbaya.. namtaka UNcle____ kwasababu ananipenda mimi na mama" eeh.. kilichotokea simalizii.. dogo mpaka leo.. ana alama katika matako