Kifungilo Girls school U.S.A

Nyerere alikuwa anapiga vita ukabila kwa sababu alijua kuna watu wenye vichwa kama vyenu. ACHENI UKABILA!!!

KAANZISHENI FORUMS ZENU ZA WAHEHE NA WASUKUMA.

Hivava hii yane msehe? hume pene apa humbe.....lol!
 
Originally Posted by Rainbow View Post
Nyerere alikuwa anapiga vita ukabila kwa sababu alijua kuna watu wenye vichwa kama vyenu. ACHENI UKABILA!!! KAANZISHENI FORUMS ZENU ZA WAHEHE NA WASUKUMA.

Navalonge swela kwa sana! sangula madulu na mapilili....
 
Aaaaaawwww...you miss your Cupcake? Okay, I will be his temporary replacement until his ban is lifted. Damn that Painkiller....he is so mean.

ooh hold on i hear somebody sais Overruled...oh gosh get over it...ng'waninyami sounds like my cupcake i will aceept the temporary replacemt for $200.00 pleasee.
 
Something thing serious has to be done huyu painekillo! sijui ni demu huenda ni hormone ama?

Atawafungia tena shauri yenu!..mtu mwenyewe mmemuona ana chroquin kwenye profile yake....ni kwamba ana roho ngumu sana he dont care...
 
ooh hold on i hear somebody sais Overruled...oh gosh get over it...ng'waninyami sounds like my cupcake i will aceept the temporary replacemt for $200.00 pleasee.

Ahahahahahaa...you Cupcake you! Today I'm going to call you Sugar Plum coz you're just so sweet....
 
By the way my first GF was Mnyalu semwakisinda !! the lady was somewhere Usokami......Nishafika huko....Lugha kwa mbali

hahaha shem kumbe umeshafika nyalu land uh!..hebu mueleze ndugu yako kulivyo kuzuri ulaya hakuoni ndani!....wow so what happen btwn you and sekidinda?.......
 
hahaha shem kumbe umeshafika nyalu land uh!..hebu mueleze ndugu yako kulivyo kuzuri ulaya hakuoni ndani!....wow so what happen btwn you and sekidinda?.......

She wanted to be married na Msirikale, by then I was in Major Seminary! Mashemashi wa kikatoliki are not allowed to get married.....
 
She wanted to be married na Msirikale, by then I was in Major Seminary! Mashemashi wa kikatoliki are not allowed to get married.....

Yeha i know shemashi hawatakiwi kuowa kwenye dini ya kikatoliki i went to catholic school so i know...so wewe siyo shemashi tena?..how come?...mimi ni Lutheran na wachungaji wa kilutheli wanaruhusiwa kuoa i guess mke mmoja tuu and not more than that...
 
Syo tena....walinifukuza nilipoopt kwenda Uni badala ya Kipapala, so here I am...yote maisha....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom