PoleniHalafu mzigo unaleta kama homa hivi..kaka tunakohoa nyumba nzima..ila hii version ni noma!
🤣🤣🤣🤣🤣Kitu cha india
Maskini unaondoka kabla sijakufaidiHalafu mzigo unaleta kama homa hivi..kaka tunakohoa nyumba nzima..ila hii version ni noma!
Achana na mawazo hasi, kunywa chai ya Tangawizi mpaka usahau kama una kikohoziAisee..🤔
Mie toka ijumaa..nna flu kali balaa na nnakohoa..had leo nimesema labda ni phase 3 jamani!yaan sijawah pata mafua makali kwa zaidi ya miaka 5..Wakuu, kwa takriban siku nne nasumbuliwa na mafua makali na koo kuwasha,siku ya leo nilienda hospitali kupata matibabu lakini nimestaajabu kukuta watu wengi wakilalamikia hali hiyo.
Je hali ikoje mahali uliko..ni ule mzigo au ni mawazo yetu tu?
One of the several symptoms of covid 19, take care if not treated it will develop into severe formWakuu, kwa takriban siku nne nasumbuliwa na mafua makali na koo kuwasha,siku ya leo nilienda hospitali kupata matibabu lakini nimestaajabu kukuta watu wengi wakilalamikia hali hiyo.
Je hali ikoje mahali uliko..ni ule mzigo au ni mawazo yetu tu?
Oh nimechanganya nilidhani ni kisura wangu Ma MshuzaKivipi mkuu? Unachanganya madesa?
Asante...inaniboa balaa...mie hata kutoka nje naogopa pole na wwYaani inaleta homa kabisa..ni balaa..pole sis!