Kifua kubana, Koo kuwasha na mafua makali. Hali ikoje mahali ulipo

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
11,007
16,412
Wakuu, kwa takriban siku nne nasumbuliwa na mafua makali na koo kuwasha,siku ya leo nilienda hospitali kupata matibabu lakini nimestaajabu kukuta watu wengi wakilalamikia hali hiyo.

Je hali ikoje mahali uliko..ni ule mzigo au ni mawazo yetu tu?
 
Mie toka ijumaa..nna flu kali balaa na nnakohoa..had leo nimesema labda ni phase 3 jamani!yaan sijawah pata mafua makali kwa zaidi ya miaka 5..
 
Wakuu, kwa takriban siku nne nasumbuliwa na mafua makali na koo kuwasha,siku ya leo nilienda hospitali kupata matibabu lakini nimestaajabu kukuta watu wengi wakilalamikia hali hiyo.

Je hali ikoje mahali uliko..ni ule mzigo au ni mawazo yetu tu?
One of the several symptoms of covid 19, take care if not treated it will develop into severe form
 
Back
Top Bottom